Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mwangwi wa sakata la maziwa china katika afrika
ripples of the china milk scandal in africa · global voices
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
nchini china inakadiriwa kuwa watoto 13,000 wameugua tangu sakata la maziwa yasiyofaa kuibuka.
in china, an estimated 13,000 children have fallen ill since the tainted milk scandal broke.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
sakata zima linakera kwa mkuu wa nchi kusimama juu ya kichunguu cha mchwa na kuanza kupigia kelele masuala asiyoyaelewa vya kutosha.
the whole issue is so embarasing for a head of state to stand on an ant hill and make noise on issues he has little understand.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
haikuchukua muda mrefu sakata hilo lilihamia kwenye mitandao ya kijamii pamoja na kwenye redio bubu (zisizosajiliwa).
the indignation took little time to be felt on social networks and on pirate radio.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
rubani na wafanyakazi waliohusika na mpango huo walishtakiwa kwa makosa ya jinai, na polisi kufanya jitihada za kuiepusha familia ya perrella na sakata hilo.
the pilot and staff who helped maintain the helicopter were charged with the crime, while police rapidly dismissed the possibility of any involvement by the perrella family.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hisia zangu mara zote zilikuwa zikinielekeza kwamba mapinduzi haya yangefanyika majira ya kiangazi (sijawahi kuandika bayana juu ya hili, lakini nimelielezea hili katika majadiliano na sikutaka kuchangia lolote kuhusiana na sakata hili.
talking to informed mauritanians, some of them saw the coup coming during the summer (as it did), in the autumn, or not at all.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa mujibu wa gawker, anonymous, kundi lenye muundo-huru la wanaharakati wenye utaalamu wa kuingilia mawasiliano binafsi ya mtandaoni pamoja na walinzi sungusungu, walishambulia tovuti za serikali, pamoja na ile ya rais, waziri mkuu, soko la hisa na wizara kadhaa, wakipinga kitendo cha tunisia kuingilia utumiaji wa mtandao maarufu wa kutoa taarifa za siri za serikali duniani uitwao wikileaks, kufuatia sakata la kuingiliwa kwa mawasiliano ya siri, na dhidi ya uingiliaji wa mitandao binafsi wenye ukandamizaji unaofanywa na nchi hiyo.
according to gawker, anonymous, the loosely-organised band of hacker activists and vigilantes, attacked the government sites, including that of the president, prime minister, the stock exchange and several ministries, in protest against tunisia's censorship of access to whistle-blower site wikileaks, following the cablegate affair, and for the country's repressive censorship.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: