Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
baadhi ya watumiaji wa twita wamezipokea habari hizi kama ishara ya maendeleo ya sekta ya elimu nchini afganistani.
some twitter users have welcomed the news as an indication of improvements in the afghan education sector.
katika kutoa majibu, wenye nguvu katika sekta ya utamaduni walishutumu kuwa kuna uchujaji katika malumbano haya.
in response, france's cultural establishment has thrown accusations of censorship into the debate.
tulimaliza ufisadi uliodumu kwa miongo minne katika sekta ya mbolea ndani ya siku 90 baada ya kuingia ofisini kama waziri.
we ended four decades of corruption in the fertilizer sector within 90 days of my assumption of office as minister.
walimu hao wamekuwa wakihamishwa kuwaadhibu wale wote walioshiriki katika mgomo wa mwaka uliopita kushinikiza kuboreshwa kwa mazingira ya kazi katika sekta ya elimu.
the transfers were made to punish teachers who participated in last year's strikes demanding the improvement of the conditions of employees in the education sector.
anaongeza kuwa, vituo vya afya vinafanya kazi kupita uwezo wake ikiwa na maana kuwa hata wafanyakazi wa sekta ya afya nao wanafanya kazi kupita uwezo wao.
she adds that the health centres are operating over-capacity and that health workers are over-worked.
alieleza kuhusu uhusiano wake na jumuiya ya sauti za dunia na jinsi teknolojia ya kenya inavyozidi kuwa ya ubunifu, hasa katika sekta ya vifaa vya mkononi kama simu.
he explained his connection with global voices and how kenyan technology continues to innovate, particularly in the area of mobile.
hata sijui nini cha kusema lakini kile ninachoweza kusema sasa ni kwamba ninajisikia kukerwa na kwa kweli sijui cha kufanya na kile ambacho sote kama taifa tunaweza kufanya ili angalau sekta ya madini itufaidishe na sisi siku moja
i really do not even know what to say but all i can say is that i feel so disgusted and i really do not know what we can do and what we shall do to make the dice fall in our favor as zambians one day
mchoro wenye taarifa umekuwa ukisambaa katika majukwaa ya vyombo vya habari vya kiraia kuonyesha kwamba bolivia ni kati ya maeneo ya mwisho kabisa katika sekta ya ubora wa kasi ya mtandao barani amerika ya kusini.
an infographic that has been circulating on social media platforms shows that bolivia is among the last places in connectivity and bandwidth in latin america.
mwezi mei, benki ya dunia iitaka serikali ya zambiakutokuingilia upangaji wa bei ya unga wa mahindi unaouzwa na wakulima kwa shirika la hifadhi ya chakula la nchi hiyo na wadau wengine katika sekta ya uchumi wa kilimo.
in may, the world bank urged the zambian government not to interfere in determining the floor prices of maize sold by farmers to the food reserve agency and other interested parties in the agri-business chain.
makadirio ya ripoti ya benki ya dunia inaonyesha kwamba asilimia (20 - 40%) ya fedha za sekta ya maji zinapotea kupitia mazoea ya udanganyifu.
estimate by the world bank report suggests that twenty –forty percent (20 – 40% ) of water sector finances are being lost to dishonest practices.
jengo la ghorofa tisa lililokuwa na idadi kubwa ya watu wanaotengeneza nguo liliporomoka huko savar, nje kidogo ya mji mkuu dhaka na kuua watu 142 na kujeruhi takribani watu elfu moja, hali iliyopelekea kuibua umakini wa hali ya usalama kwa sekta ya viwanda nchini bangladesh.
a nine-story building with mostly garment manufacturers collapsed in savar, in the outskirts of capital city dhaka, killing 142 people and injuring close to a thousand, resurrecting concerns of safety conditions in bangladesh's manufacturing industry.
alisema hatua hiyo inakusudiwa kulinda sekta ya mawasiliano nchini humo, akiongeza kuwa utafiti umeonyesha kuwa "watu laki moja nchini bahrain wametumia zana hizo za mawasiliano ya sauti katika kipindi cha siku nne."
he said the move was to protect the country's communication sector, adding that a study showed that "100,000 people in bahrain had used voip applications in four days."
hukumu hii inaweka msisitizo wa sheria ya makosa ya jinai (au, ningeongeza, sheria ya maadili ya baraza la watumishi wa sekta ya afya afrika kusini kwamba haiwezekani kutekeleza jambo lolote lililo kinyume na misimamo ya kidini au kimaadili kwa mtu yeyote.
the judgment thus confirms that the criminal law (or, i would add, the ethical rules of the hpcsa ) cannot be used to enforce the moral, religious or ethical beliefs of some on everyone.
kampuni ya shanxi province geological prospecting bureau ya china imeeleza kuridhika kwake na mashirikiano yaliyopo na tanzania katika sekta ya maji na madini nchini tanzania na kuahidi kuyaimarisha. kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo prof. peng dongxiao wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na balozi wa tanzania nchini china mheshimiwa khamis omar jana tarehe 14 machi 2024. kampuni hiyo ni miongoni mwa kampuni kubwa za china zinayojihusisha na ujenzi wa miundombinu ya m
the shanxi province geological prospecting bureau of china expressed satisfaction with tanzania's existing partnership with tanzania in tanzania's water and mining sector and pledged to strengthen them. the statement was made by the company's director general prof. peng dongxiao as he met and held talks with tanzania's ambassador to china, mr. khamis omar, on 14 march 2024. the company is one of china's largest companies involved in the construction of m infrastructure