Вы искали: sintofahamu (Суахили - Английский)

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

sintofahamu

Английский

i do not understand

Последнее обновление: 2022-11-16
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kuna hali ya sintofahamu inayosababishwa majibu yaliyochelewa kutoka serikali lakini baadae yakajitokeza kwenye vyombo vya habari vya kijamii:

Английский

the frustration about the seemingly slow response of the government is reflected on social media:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kwa mfano, waandishi wa habari wa kujitegemea wanaendelea kuwa katika hali ya hatari ya kukumbwa na vifungu mbalimbali vya sheria kama wataweka bayana hali ya sintofahamu katika uongozi au kuwakosoa viongozi wa ngazi za juu serikalini.

Английский

for example, independent reporters continue to face a high risk of being slapped with various lawsuits if they expose controversies in the bureaucracy or criticize high ranking government officials.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kutokana na sintofahamu iliyopo katika sheria hii mpya na kukosekana kwa mawasiliano mazuri miongoni mwa vyombo husika vya serikali katika kutekeleza sheria hii, malipo ya ada ya kufanya kazi isiyo ya mkataba wa kudumu pamoja na baadhi ya wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa katika tarehe za mwisho za mwezi januari.

Английский

due to ambiguities in the new regulation and lack of coordination between government agencies in implementing the new law, payment of fees for part-time and freelance work for certain categories of workers were blocked in the last days of january.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kwa bahati mbaya, vikwazo kadhaa kutoka kwa watendaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari, hususani katika kipindi hiki, umetoa mwanya wa kuongezeka kwa hali ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa huu, na pia kuendelea kuongeza hali ya jamii kutokuamini uwepo wa ugojwa huu.

Английский

unfortunately, several actions against media by government actors, especially during these times, have simply given room to growing skepticism about the disease, and further exacerbating the denials within the community. we think this is unfair and improper.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mauaji ya muath yanalazimisha kuwepo kwa mjadala wa kitaifa nchini#jordan, vinginevyo tutajikuta katika hali ya sintofahamu. #ripmuath — naseem tarawnah (@tarawnah) february 3, 2015

Английский

muath's murder needs to spark a national conversation in #jordan, or otherwise we're going to be heading a very dark road. #ripmuath — naseem tarawnah (@tarawnah) february 3, 2015

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,747,059,382 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK