Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
soko la ajira
labor market
Последнее обновление: 2018-06-04
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa nini wanafunzi wengi wanaomaliza shahada ya uhifadhi wanashindwa kufanya vizuri katika soko la ajira
why so many students who complete a conservation degree fail to do well in the job market
Последнее обновление: 2023-11-08
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
vijana wa liberia wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kupata elimu ambayo itawapatia amana ya ujuzi na ufahamu kuwa wazalishaji katika soko la leo la ajira.
liberia’s youth face many challenges in gaining an education that delivers them the right set of skills and knowledge to become productive in today’s labor market.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hata hivyo, mtindo wa ajira wa kijapani, ambao upo katikati ya ngano hii, umebadilishwa kutokana na ongezeko la ajira holela na sababu nyingine, na idadi inayoongezeka ya wajapani wanaishi katika umaskini.
however, japanese-style employment, which is at the heart of this myth, has been transformed by the increase in nonregular employment and other factors, and a growing number of japanese live in poverty.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
wakati takribani wahitimu wa vyuo milioni saba wanaingia katika soko la ajira, ajira mpya milioni tisa tu ndizo zilizoandaliwa, na wahitimu wa vyuo vya china ni lazima wagombee ajira pamoja na wanafunzi wanaorejea kutoka nchi za nje walikokwenda kusoma na pia wahitimu wa shule za upili na wale wa vyuo vya ufundi.
while almost seven million college graduates are entering the job market, only nine million new jobs have been created, and college graduates must compete with returning students from abroad, as well as high school graduates and trade school graduates.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: