Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
na ataiacha tambarare, uwanda.
"he will leave them as plains smooth and level;
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
wafanyakazi ambao hukata miwa na mazao mengine katika tambarare ya pwani ya amerika ya kati na wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu:
workers who cut sugarcane and other crops in the coastal lowlands of central america are being hit by a mysterious disease:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa kuwa chui wakubwa huishi misituni na mwituni katika maeneo tambarare na yale yenye milima na makazi yao ni aina tofauti sana. makazi yao nchini taiwan yanasumbuliwa kwa sababu ya miradi mipya ya ujenzi.
since the big cats live in the forests and jungles in both plains and in hilly areas and their home range is very broad, their habitats in taiwan are easily disturbed by new construction projects.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
baada ya kushuka mlimani pamoja na mitume, yesu alisimama mahali palipokuwa tambarare. hapo palikuwa na kundi kubwa la wanafunzi wake na umati wa watu waliotoka pande zote za yudea na yerusalemu na pwani ya tiro na sidoni. wote walifika kumsikiliza yesu na kuponywa magonjwa yao.
and he came down with them, and stood in the plain, and the company of his disciples, and a great multitude of people out of all judaea and jerusalem, and from the sea coast of tyre and sidon, which came to hear him, and to be healed of their diseases;
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество: