Вы искали: ubinafsi (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

ubinafsi

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

ubepari msingi wake ni ubinafsi, majawabu binafsi.

Английский

capitalism has as its essence selfishness, individual solutions.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kila mtu ana mapambano yake – na nadhani kublogu ni aina ya matibabu na kisingizio cha ubinafsi.

Английский

everyone has their own battle that they are tackling - and well i suppose blogging really is a form of therapy and an excuse to self indulge.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mizizi ya ubepari, utumiaji na ubinafsi, imekutana na upinzani zaidi katika hisia za afrika.

Английский

the roots of capitalism, utility and individualism, encountered more resistance in the african psyche.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

huo ndio msingi wa mapigano, ubinafsi katika mapigano dhidi ya upendo, na kwamba hapo ndipo juhudi zatu zapaswa kuelekezwa.

Английский

that is the foundation of the battle, selfishness in a fierce fight against love, and that is where our efforts must be directed.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mfumo wa zamani wa mshikamano wa maisha bado hujaporomoka; mfumo mpya wa ubinafsi wa kibepari hujamaliza kujongea ndani katika jamii zetu.

Английский

the old framework of lifelong solidarity has not totally disintegrated; the new framework of capitalist individualism has not finished moving in.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

"pamoja na maonyo haya, watu wengine bado wanaendelea na ubinafsi, wanakataa kuupokea mfumo wa nishati safi au kupunguza nyayo zao za gesi ya ukaa."

Английский

“despite these warnings, some people still continue to be selfish, refuse to switch to cleaner fuels or reduce their carbon footprints somehow.”

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu;

Английский

for men shall be lovers of their own selves, covetous, boasters, proud, blasphemers, disobedient to parents, unthankful, unholy,

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kwa sababu zaidi ya watu milioni sita walimwunga mkono, kwa kumpigia kura capriles, ubinafsi (alielekeza kampeni zake kwa kuitaka nchi hiyo kuachana na ushirikiano na nchi nyingine) na uharibifu na kuuzwa kwa nchi yao.

Английский

because over six million people supported, by voting for capriles, selfishness (he had focused his campaign on venezuela ending its solidarity with other countries) and the destruction and sale of their country.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mama – sio tu neno lingine lolote katika kamusi. inajumuisha hisia mbalimbali – upendo, uvumilivu, uaminifu, na mengi zaidi. kote ulimwenguni, bila kujali nchi au eneo, watoto wana mapenzi maalum kwa mama zao. mama sio tu anazaa watoto wake, lakini pia huunda akili zao, utu wao, na kujiamini kwao. na wakati wa kufanya hivyo, akina mama hujitolea bila ubinafsi mahitaji na matarajio yao binafsi.

Английский

mother – is not just any other word in the dictionary. it encompasses a whole range of emotions – love, patience, trust, and a lot more. across the world, irrespective of country or region, children have a special affection for their mothers. a mother not only gives birth to her children, but also shapes their mind, their personality, and their self confidence. and while doing so, mothers selflessly sacrifice their own personal needs and aspirations.

Последнее обновление: 2022-06-20
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,779,596,443 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK