Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kwa bahati mbaya, blogu ya zambian economist haijaweza kuthibitisha uhalisi wa picha hizo tatu, ambazo tunaelewa ziko kwenye tovuti nyingine.
unfortunately, the zambian economist is not able to verify the authenticity of these three photos, which we understand are available at other websites.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
badala yake, picha hizo zilikuwa mithili ya mafuta yaliyoongezwa kwenye moto unaowaka, kiasi kwamba baadhi hata wanathubutu kuhoji uhalisi wa mkutano huo kwa sababu hapakuwa na kipande cha rekodi ya sauti na video kuthibitisha madai hayo.
instead, the images have further fanned the criticism, and some are doubting the authenticity of the meeting because there is no audio or video footage to back it up.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ukurasa huo bandia wa facebook uliodaiwa kuwa wa dr. scott ulipoonekana, wavuti ya kiraia ya zambian eye iliripoti habari hizo, inagwa kulikuwa na maswali mengi kuhusiana na uhalisi wake:
when the facebook page purported to belong to dr. scott emerged, citizen media website zambian eye reported about it, although there were questions on its authenticity:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
barua hizo zilitumwa na chama cha psdb jimboni minas gerais wakisema kwamba filamu hiyo ilikuwa na chembechembe za “ushabiki wa kisiasa” na haikuwa ikieleza uhalisi wa mambo, pamoja na kuhoji maadili ya kazi yangu wakati wa kutayarisha filamu hiyo.
letters were sent by psdb of minas gerais. psdb said my film was of a "political-partisan" nature and didn't represent the reality in the state, besides questioning the ethics of my conduct during the production of the film.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование