Вы искали: ukiwa ndugu, jamaa,rafiki wa karibu na f... (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

ukiwa ndugu, jamaa,rafiki wa karibu na familia hii

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

niliachana na hijab, nilimpoteza angalau rafiki yangu mmoja wa karibu na wengi walinishangaa.

Английский

when i took off my hijab, i lost at least one good friend and was tsk tsked by many others.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mara ya mwisho alionekana akielekea kwenye msitu wa karibu na nyumbani kwake kuchukua mifugo ya familia yake kutoka malishoni.

Английский

she was last seen going to a nearby jungle to bring her family’s cattle back home.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

inaweza kuchukuliwa kwamba, tayari vimezoeleka kwa mbebaji mwingine wa karibu na binadamu.

Английский

presumably, it has already been adapted to another host close to humans.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kwa mujibu wa rasha abdulla, mwandishi wa kitengo la utetezi cha gv ambaye pia ni rafiki wa karibu wa abd el fattah:

Английский

according to rasha abdulla, advox author and a friend of abd el fattah:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

miongoni mwa sababu ni 'umbali na gharama za usafiri, matibabu duni, hamu ya kuwa karibu na familia, na hamu ya mazoea ya jadi ya kujifungua.

Английский

among the reasons are 'distance and cost of transport, poor treatment, desire for family to be near, and desire for traditional birth practices.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

namna nilivyovaa kwa miaka yote hiyo imekuwa ikikubaliwa na baadhi ya marafiki wangu wa karibu na kukosolewa na wengine; hii ni kweli.

Английский

the way i have dressed over the years may have been accepted by some in my inner circles and criticized by others; this is true.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima na masikini na jirani wa karibu na jirani wa mbali, na rafiki wa ubavuni na mpita njia, na walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. hakika mwenyezi mungu hawapendi wenye kiburi wanao jifakhiri,

Английский

and serve allah and do not associate any thing with him and be good to the parents and to the near of kin and the orphans and the needy and the neighbor of (your) kin and the alien neighbor, and the companion in a journey and the wayfarer and those whom your right hands possess; surely allah does not love him who is proud, boastful;

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

muabuduni mwenyezi mungu wala msimshirikishe na chochote. na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima na masikini na jirani wa karibu na jirani wa mbali, na rafiki wa ubavuni na mpita njia, na walio milikiwa na mikono yenu ya kulia.

Английский

pay homage to god, and make none his compeer, and be good to your parents and relatives, the orphans and the needy and the neighbours who are your relatives, and the neighbours who are strangers, and the friend by your side, the traveller and your servants and subordinates.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

matukio haya huathiri marafiki na familia za waliotekwa, kama alivyoathirika bloga tony scotti, ambaye ni rafiki wa batista:

Английский

these cases affect friends and family of the abducted, such as blogger tony scotti, who is a friend of batista:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

taarifa mbalimbali zinawahusisha waasi walio na uhusiano wa karibu na serikali ya urusi ambao kwa bahati mbaya waliishambulia ndege ya abiria, hata hivyo, kiongozi wa waasi hao amekanusha taarifa hizi.

Английский

many reports have pointed to pro-russian insurgents mistakenly shooting down the passenger jet, but rebel leaders have denied this.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

baadhi ya majina yaliyoorodheshwa katika makisio ya watu ni pamoja na mkewe janet kataha museveni, mwanae wa kiumemuhoozi kainerugaba, amama mbabazi, waziri mkuu na rafikiye wa karibu, na rebecca kadaga, spika wa sasa wa bunge.

Английский

some of the names listed in the speculation included his wife janet kataha museveni, his son muhoozi kainerugaba, amama mbabazi, the current prime minister and museveni's close friend, and rebecca kadaga, the current speaker of parliament.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

msongo wa akili: kama ilivofafanuliwa hapa juu, wakati wa mkurupuko wa covid-19 wagonjwa wengi waliugua kutokana na mfadhaiko usio wa kawaida kwa vile walistahimili vipindi virefu vya karantini na hali ya shauku na wakaona vifo vya wanafamilia wa karibu na wagonjwa wenzao.

Английский

mental stress: as described above, during the covid-19 outbreak many patients have suffered from extraordinary stress as they often endured long periods of quarantine and extreme uncertainty and witnessed the death of close family members and fellow patients.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

imeripotiwa kwamba virusi vya bat cov vinavyoitwa arcov.2 (appalachian ridge cov) vilivyogunduliwa kaskazini mwa marekani popo wa rangi tatu alionyesha uhusiano wa karibu na hcov-nl63.

Английский

it has been reported that a bat cov termed arcov.2 (appalachian ridge cov) detected in north american tricolored bat displayed close relationship with hcov-nl63.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

vuguvugu zote mbili, lile la mgomo na lile la maandamano yalichochewa na madai ya hivi karibuni kwamba gazeti hilo limekuwa likijaribu kumchafua rais lula da silva kupitia makala iliyoandikwa na césar benjamin, ambaye alikuwa mtu wa karibu na rais huyo na ambaye sasa ni mwandishi wa makala wa gazeti hilo la folha, ambapo anadai kwamba lula alikiri kuwa mwaka 1994, lula alijaribu kumlazimisha mfungwa mwenzake kufanya ngono alipokuwa amefungwa kwa kosa la kisiasa katika miaka ya 80. pamoja na watu wanaodaiwa kuwepo katika mazungumzo hayo kukataa na hata wale waliofungwa pamoja na lula wakati wa utawala wa kidikteta, ikiwa ni pamoja na mfungwa huyo anayedaiwa kutendewa hayo, mwandishi wa makala aliomba msamaha kwa kosa hilo na gazeti hilo lilitakiwa kuchapisha habari mpya ili kukanusha shutuma hizo siku chache baadae.

Английский

both the boycott campaign and the demonstration were sparked by the newspaper's latest alleged attempt at character assassination against brazilian president lula da silva, this time by publishing an article by césar benjamin, an ex-ally and current folha columnist, claiming that lula admitted in 1994 he had attempted to sexually subdue a fellow inmate when jailed for political crime in the 80's. with the denial of the other people present at the said conversation and even those jailed with lula during the dictatorship, including the said assaulted inmate, the author of the article apologised for any offense and the newspaper was forced to publish new stories denying the allegations a few days later.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

dalili za virusi geni vya sars-cov-2 hutokea katika virusi vya korona vinavyohusiana ulimwenguni.nje ya mwili wa binadamu, virusi hivi huuliwa na sabuni ya matumizi nyumbani, inayovunja ua linalolizingira.sars-cov-2 ina uhusiano wa karibu na sars-cov ya asili.

Английский

all features of the novel sars-cov-2 virus occur in related coronaviruses in nature.outside the human body, the virus is killed by household soap, which dissolves its protective envelope.sars-cov-2 is closely related to the original sars-cov.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,794,082,106 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK