Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
uamuzi huo unahusisha vitabu vinavyopakuliwa au kutazamwa mtandaoni na inahusisha mifumo kama kompyuta, simu za kisasa na vifaa vingine vya kusomea.
the sentence includes books downloaded or viewed online and encompasses electronic formats for computers, smartphones, e-readers or any reading devices.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ubunifu huu unahusisha kuweka maandiko yanayokwaruzika katika dawa, maandiko haya yana nambari ya utambuzi, ambayo mtu anatuma kwa kupitia huduma ya ujumbe mfupi ili kuhakikisha kuwa dawa hiyo ni halali.
in simplified terms, the idea is to place a scratch-off label on the products; the label contains a unique code, which the consumer sends via sms and then receives a reply as to whether the product is authentic or not.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
"umoja wa ulaya katika mgogoro (eu in crisis)" ni chapisho letu la kwanza katika mradi wa vitabu wa global voices na ambao unahusisha makala bora zaidi kuhusu mazungumzo ya kijamii, ushiriki na uhamasishaji unaopewa nguvu na raia wanaopitia nyakati ngumu za kubana matumizi katika bara la kale zaidi na kwingineko.
"eu in crisis" is the first production of our new global voices books project and includes the best material from social conversation, participation and mobilization boosted by citizens going through the tough times of austerity in the old continent and beyond.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование