Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
uzalendo na nchi yangu
patriotism and my countryinsha
Последнее обновление: 2022-08-07
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ni likizo isiyohusiana na waasi wowote, vita, wala vurugu, ingawa hutujaza uzalendo na furaha.
it's a holiday which is not related to any rebels, battles or violence, although it fills us with patriotism and joy.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
baadhi ya watu walisema kwamba anataka mwanae awe na mtindo wa kawaida wa maisha, kitu ambacho hakina uhusiano na uzalendo.
some netizens said that she only wants the child to have a more normal lifestyle, which has nothing to do with patriotism.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
wakati tunaanza miaka mingine 50, tunahitaji kizazi kipya cha vijana, chenye uzalendo, uelewa, busara na chenye kumcha mungu.
as we start another 50 years, we need a new breed of youthful, patriotic, nationalistic, knowledgeable, wise and god-fearing leaders.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
bhutan imebarikiwa na endelevu, urithi tajiri wa utamaduni na watu wa bhutanese wana fahari katika kuunga mkono idadi ya maadili muhimu ikiwa ni pamoja na maelewano, huruma na uzalendo.
bhutan has been blessed with a sustained, rich cultural heritage and the bhutanese people take pride in upholding a number of essential values including harmony, compassion and patriotism.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
victor alionesha uzalendo wa kweli kwa nchi yake hata pale alipokuwa akifanya kazi na taasisi ya straight talk foundation ya kampala, alipokuwa akikutana na watu katika shughuli zake aligundua kuwa watu wa kaskazini mwa uganda kuna mengine zaidi walistahili na walihitaji mbali na vipeperushi.
victor’s heart was home even when he worked with straight talk foundation in kampala, interacting with the people in the field made him realize that the people of northern uganda wanted more than hand outs but wanted and deserved more.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
je, wanapenda (wananchi wa kawaida) kweli kupigiwa kelele za kuondoka barabarani kwa sababu rais, waziri au mkuu wa mkoa anaendeshwa mchana? (…) je, wanajisikia fahari na uzalendo kila wakati wanapotakiwa kuacha walichokuwa wanafanya na kusimama wima kwa sababu tu mkubwa mteule mpya ambaye huenda hata hawajawahi kumwona hapo kabla anapigiwa wimbo wa taifa? (…) utu hauhitaji ubinafsi kuuondoa: na ubinafsi wa namna zake zote ni mbaya.
do they really love being shouted at to get off the road because the president, a minister or a regional commissioner is taking an afternoon drive? (…) do they really feel a surge of pride and patriotism every time they are expected to stop what they are doing and stand at attention just become some newly-appointed official whom they many not even have seen before is being serenaded with the national anthem? (…) dignity does not need pomposity to uphold it: and pomposity in all its forms is wrong.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: