Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wanaiona gv kama jukwaa la thamani ambalo wanaweza kukuza simulizi na mitazamo yao kwa hadhira pana zaidi duniani.
they see gv as a valuable platform through which to get their stories and viewpoints amplified to a broader global audience.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
walitushirikisha uzoefu wao katika juhudi za kuyafikisha maono, ari na upendo wa global voices kwa hadhira ya kweli isiyopatikana mtandaoni katika nchi zao.
they shared their experiences of bringing the virtual global voices mission, energy and love to very real offline audiences in their countries.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@simonallison:@sheofnations kweli, karibu kila tunachosoma kuhusu afrika kutokea afrika kusini kimenyofolewa na wahariri wa kizungu na kimarekani kutoka kwa hadhira yao...
@simonallison: @sheofnations yep, almost everything we read about africa in sa is handpicked by european and american editors for their audiences...
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
anaifundisha hadhira ya watoto wadogo kuhusu kukabiliana na kuumwa na kupotelewa....ingawa ngono huwa haitajwi kamwe katika kuzungumzia hali ya kami, watu wengine wamesema kuwa kuwepo kwa mhusika mwenye virusi vya ukimwi lisingekuwa jambo sahihi kwa hadhira ya watazamaji wadogo.
she teachers her young audience about coping with illness and loss...even though sex is never mentioned when talking about kami’s condition, some people have said that having an hiv positive character would be inappropriate for a young viewing audience.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.