Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ndio kisifa cha viongozi wa afrika.
it is the cliche of african leaders.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
niliwaalika pia maimamu kadhaa na viongozi wa kijamii.
i also invited several imams and community leaders.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
viongozi wa afrika wanakuwa kikwazo cha maendeleo ya nchi zao.
african leaders are stifling the progress of their own nations.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
haya yote yalichangiwa sana na ahadi zisizotekelezeka za viongozi wa kandanda.
these were all precipitated by unfulfilled promises by the football administrators.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jumuiya ya kiarabu ina msimamo gani kuhusu viongozi wa mapinduzi haya?
what is the stance of the arab league from the leaders of this coup?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mwaka mmoja baada ya mapinduzi, viongozi wa madagaska wakabiliwa na vikwazo
year after coup, madagascar's leaders face sanctions · global voices
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
nkurunziza na jenerali niyombare wote walikuwa viongozi wa waasi wa ki-hutu.
nkurunziza and general niyombare are both former hutu rebel leaders.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
je, mmekwisha mwona hata mmoja wa viongozi wa watu, au mmoja wa mafarisayo aliyemwamini?
have any of the rulers or of the pharisees believed on him?
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
adeola aderounmu alitoa mtazamo unaofanana na huo, na kuzitupa lawama kwa viongozi wa naijeria:
adeola aderounmu expressed a similar view, laying the blame with nigeria's leaders:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ahmed alijaribu kuonana na viongozi wa jamii ya kisomali waishio kampala na akaweza kukutana na msichana huyo.
after that mr. ahmed tried to get in touch with the leaders of the somali community in kambala and was able to get in touch with the girl.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa aloysius agendia papa benedikti wa xvi anapaswa aongelee mwenendo wa hovyo wa viongozi wa kikatoliki nchini kameruni:
to aloysius agendia should pope benedict xvi of the perceived waywardness of catholic prelates in cameroon:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
gazeti la new vision linasema kuwa kupigwa risasi kulitokana na kutokukubaliana kati ya mgombea na mmoja wa mashabiki wa mgombea mwingine:
the new vision suggests the shootings were a result of a disagreement between one candidate and the supporter of another:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@sultanalqassemi: ufalme wawashukuru & kuwasifu viongozi wa dini ya kiislamu kwa zaidi ya dakika moja #saudi
@sultanalqassemi: the royal thanks & praise to the islamic clerics took more than one minute #saudi
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
bado akiwa kwenye suala la kupambana na rushwa na ufujaji wa viongozi wa afrika, oyez ana ushauri kwa viongozi wa magharibi kama obama:
still on the issue of tackling corruption and embezzlement by african leaders oyez has some advice to western leaders like obama:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
1) wanyimeni viongozi wa kiafrika, na familia zao na maswahiba wao haki ya kuwa na akaunti za benki na mali ya aina yoyote nje ya nchi.
1) deny african rulers, their families and their lieutenants the right to foreign bank accounts and foreign property of any kind.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
gazeti la new vision la uganda lilituma picha ya viongozi wa upinzani waliokuwa wamemwagiwa rangi hiyo kwa njia ya twita. mtumiaji wa yfrog flashdancer11 alituma picha hii:
uganda's new vision newspaper tweeted a photo of opposition leaders covered in the paint. yfrog photo user flashdancer11 shared the photo below:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
baada ya majadiliano ya kisiasa nchini ethiopia, viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vya somalia walikubaliana kuchukua hatua za kisiasa ili kumaliza kipindi cha mpito na kumchagua raisi mpya.
after political discussions in ethiopian, leaders of various somali parties agreed to political steps to end the transitional period and elect a new president.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hata hivyo, ni mageuzi ya kimsingi katika utamaduni mzima wa mashabiki na siyo utambuzi kwamba manyanga yale yalikuwa yanakera,ndiyo yaliyoyaondoa manyanga yale kwenye viambaza."
yet it was a shift in the entire base of fan culture, rather than a simple realisation that rattles were annoying, that removed the rattle from the terraces.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
@sultanalqassemi: mfalme wa saudi arabia awashukuru viongozi wa dini, waandishi & wizara ya mambo ya ndani kwa juhudi zao za kuulinda ufalme.
@sultanalqassemi: saudi king thanks the clerics, writers & the ministry of interior forces for their efforts in defending the kingdom.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
@ernestrwamucyo: mtazamo huu wa tawala za kimagharibi na “ mtazamo wa kujifanya kujua kila kitu” kuhusu afrika na viongozi wa afrika si mzuri.
@ernestrwamucyo: this paternalism and 'know it all attitude' on africa and african leaders is not good.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: