Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wiki moja mara baada ya kutokea kwa kimbunga kikubwa katika majimbo ya leyte na samar, katika visiwa vya visayas, tutakuwa tunawasiliana na waandishi wetu wa habari walioko ufilipino pamoja na mfanyakazi anayehusika na usambazaji wa misaada kuhusiana na namna ufilipino inavyokabiliana na janga hili, maendeleo ya harakati za uokoaji na jinsi jamii ya kimataifa inavyoweza kutoa msaada.
a week after the super typhoon hit the provinces of leyte and samar, in the visayas islands, we'll be talking to our philippine authors and an aid worker about how the country is coping with the disaster, the progress in rescue operations, and what we - the concerned international community - can do to help.
katika visiwa vya canary, kwa mujibu wa blogu ya prisiones y penas, ambayo huandika kuhusu habari zinazohusu jela na magereza, wanawake wanaruhusiwa kuishi na watoto wao hadi umri wa miaka mitatu ndani ya selo zao, lakini wakiwa pamoja na wafungwa wenzao, kitu ambacho sio mazingira mazuri sana kwako.
in the canary islands, according to the prisiones y penas blog, which writes about the issues surrounding jails and prisons, women are allowed to keep their children of up to 3 years of age with them in their cells, but in the company of other inmates, which isn't the best environment.
bloga living in barbados alimpachika jina mkimbiaji #1 duniani kama "silaha ya maangamizi", wakati bloga wa visiwa vya cayman mad bull alimuita "radi iliyopakwa mafuta", na akaongeza:
living in barbados referred to the world #1 as "a weapon of mass destruction", while cayman islands blogger mad bull called him "greased lightning", adding: