Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wasiliana nao kwa facebook na twitter.
the initiative is on facebook and twitter.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wanaharakati wa masuala ya ardhi wametengeneza hati ya malalamiko ya mtandaoni na wanafanya kampeni kwenye mitandao ya kijamii ya facebook na twitter.
land activists have created an online petition and are campaigning using facebook and twitter.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jillian c. york aliye miongoni mwa washindi wa tuzo ya knight news challenge ambaye mradi wake utahusika na kukusanya taarifa za udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter.
jillian c. york's knight news challenge-winning project will collect data about censorship on online platforms such as facebook and twitter.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
katika vipau mbele ilivyojiwekea, jukwaa hili litakusanya taarifa kuhusiana na matukio ya udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter, ikiwa na lengo la kuisaidia jamii kuwa na uelewa mpana na namna ya kukabiliana na mambo yanayohusiana na udhibiti wa taarifa na uhuru wa kujieleza.
currently in alpha, the platform will collect data about incidents of censorship on online platforms such as facebook and twitter, with the aim of helping society better understand and manage censorship and free expression issues.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
sanjari na mikutano ya kampeni, ambayo hulenga watu wengi zaidi, idadi ndogo ya wanasiasa wameanza kutumia zana za mawasiliano ya kijamii kama vile blogu, picha za video za mtandaoni, facebook na twitter ili kukuza mawasiliano na wapiga kura.
along with campaign rallies, which target the majority of the population, a small number of politicians have started to use social media tools such as blogs, online videos, facebook and twitter to create deeper engagement with voters.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mitandao ya kijamii imefanya kazi kubwa katika kusambaza habari za shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye jengo la westgate, nairobi, kenya, lakini hata hivyo taarifa hizo zisizothibitishwa zilisambaa mithili ya mwale wa radi, iwe ni kutoka serikalini, kwa magaidi wenyewe, waandishi wa habari na hata raia wa kawaida katika mitandao ya facebook na twitter.
social media played a major role in the dissemination of news about the terrorist attack on westgate mall in nairobi, kenya, but unverified information spread with lightning speed, including from government, terrorists, journalists and citizens on facebook and twitter.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: