Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kama unahitaji kukuza uelewa wa kina kuhusu japan, blogu hizi ambazo nyingi zimeandikwa na watu waliobobea, ni uwanja mzuri wa kuanzia.
if you're interested in developing a more in-depth understanding of japan, these blogs, many written by expert expats, are a great place to start.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kijana mwenye asili ya zambia, lakini anayeishi uingereza mwenye miaka 15 samkeliso kimbinyi anatengeneza zana za kupiga soga mtandaoni kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano na hivyo kuwa mmoja wa wataalam wadogo zaidi waliobobea na wanaotumiwa na kampuni ya microsoft barani ulaya.
fifteen-year-old samkeliso kimbinyi of zambian origin but based in the united kingdom, is creating a buzz in the information and communication technology (ict) world by becoming one of the youngest microsoft qualified professionals in europe.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
siku ya kublogu, iliyoitwa kwa jina maalum la #bad09 na wanateknolojia pamoja na waliobobea kwenye fani, ni tukio la kila mwaka linalowaunganisha wanablogu wote ulimwenguni kwa kutundika habari zinazozungumzia suala moja katika siku hiyo.
blog action day, codenamed #bad09 by tech gurus and geeks, is an annual event that unites the world's bloggers in posting about the same issue on the same day.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
this is uganda (thisis256) ni jukwaa la waandishi waliobobea kutoka uganda walio na utayari wa kuandika habari makini za kuihusu nchi yao, wakilenga kutokomeza uanahabari uchwara, njaa, ebola, ukabila, pamoja na mambo mengine.
this is uganda (thisis256) is a platform of talented writers from uganda who are determined to write positive stories about their country, banishing stories about poverty porn, hunger, ebola, and tribalism, among others.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: