Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
au wewe unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa?
do you suppose that most of them listen or exercise their reason?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
kwa upande mwingine, wapo watawa wengi tu ambao wanaelewa nafasi ya teknolojia katika kuhamasisha mafundisho ya kidini.
on the other hand, there are many well-behaved monks who understand the role of technology in promoting religious teachings.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini wachache wanaelewa kile kinachoendelea kwenye jimbo hilo, kwa sababu habari zinazoandikwa kutoka kwenye jimbo hilo ni chache mno.
but few really understand what is going on in the province, because media coverage and reporting from there is thin.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
maisha ni suala la mtazamo. kuna watu wengi ambao wanaweza kukujua... lakini ni wachache sana ambao wanaelewa wewe ni nani!
life is a matters of perspective. there are many people who may know you... but there are very few who understands really who you are!
Последнее обновление: 2023-06-30
Частота использования: 1
Качество:
je watu wanaelewa nini kinachosababisha matetemeko ya ardhi: je wanadhani kuwa ni tendo la mungu, adhamu ya mizimu yenye hasira, au ishara ya siku za mwisho?
do people understand what causes earthquakes: do they deem it an act of god, punishment from angry ancestors, or a sign of the end of days?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
si zaidi ya asilimia 10 ya wale wanaosikia nikitamka "bahrain" kama jibu la kule nitokako wanaelewa au kuwa na picha kichwani juu ya mahali nchi hii ilipo, lakini hicho siyo hasa kinachonisababishia simanzi.
not more than 10% of people who hear “bahrain” as answer have some sort of idea where that country might be, but that’s not my cause of annoyance.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование