Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
na watu wanane wa timu ya uokoaji wamefanya zoezi la kuokoa.
and eight civil rescue team members have carried out the rescue mission.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wanane kati ya watu kumi wanaoomba msaada huzuiliwa kupokea msaada huo.
eight of ten people calling for help are being prevented from receiving it.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mafanikio mengine muhimu ni ukweli kwamba sita kati ya wanane waliofikia fainali hizo walikuwa wakitoka katika dola jirani.
just as significant an achievement was the fact that six out of the eight finalists were from regional territories.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
na malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu; na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha mola wako mlezi.
and the angels are at its edges. and there will bear the throne of your lord above them, that day, eight [of them].
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule siloamu wakafa; mnadhani wao walikuwa wakosefu zaidi kuliko wengine wote walioishi yerusalemu?
or those eighteen, upon whom the tower in siloam fell, and slew them, think ye that they were sinners above all men that dwelt in jerusalem?
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
hao ndio wale waliokataa kumtii mungu alipowangoja kwa saburi wakati noa alipokuwa anatayarisha ile safina. ndani ya chombo hicho ni watu wachache tu, yaani watu wanane, waliookolewa majini,
which sometime were disobedient, when once the longsuffering of god waited in the days of noah, while the ark was a preparing, wherein few, that is, eight souls were saved by water.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
madaktari wanane kati ya hawa, pamoja na li wenliang, walionywa na polisi kwa kueneza uvumi wa uongo, na mwengine, ai fen, alikaripiwa na wakubwa wake kwa kutoa maonyo.
eight of these doctors, including li wenliang, were admonished by the police for spreading false rumours, and another, ai fen, was reprimanded by her superiors for raising the alarm.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
mamlaka ya iran ilitangaza kuwa raia wa mtandaoni wanane ikiwa ni pamoja na mwanamke mmoja walikamatwa katika rafsanjan, katika mkoa wa kerman, kwa madai ya "kutusi utakatifu wa kiislamu na maadili".
iranian authorities announced that eight netizens including one woman were arrested in rafsanjan,in kerman province, on charges of "insulting islamic sanctities and values".
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
idadi ndogo ya wagonjwa wa covid-19 walio na umri wa < 19 waliripotiwa kulazwa hospitalini (48) au kulazwa katika chumba cha watu walio katika hali mahututi icu (wanane).
small numbers of covid-19 patients aged &lt; 19 years were reported to be hospitalized (48) or admitted to an icu (eight).
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование