Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
saginc, akitolea mfano wa madikteta wanaofahamika, aliandika:
saginc, taking examples of dictators laundering, wrote:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jambo la kushangaza zaidi, ushuhuda wa zhong biao na wei xing, kama ulivyonukuliwa kwenye barua hiyo, uliandaliwa maalumu kwa ajili ya mdahalo huu lakini umenukuliwa kama kwamba watu hao wawili ni wasomi wanaofahamika vema sana na umma.
interestingly, the two accounts of zhong biao and wei xing, quoted in the letter, were set up for the purpose of this debate but quoted as if the two individuals were well-known public intellectuals.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wakati wagombea wa awali walikuwa wapya kabisa wasiofahamika sana, wanasiasa wachache machachari wanaofahamika wanatarajiwa kugombea akiwemo rais wa zamani didier ratsiraka, rais wa sasa wa mpito andry rajoelina na mke wa rais wa zamani ravalomanana, anayeitwa lalao ravalomanana.
while the earlier candidates were relatively new to the general public, a few prominent political players from the past are expected to contest: former president didier ratsiraka, current president of the transition andry rajoelina and the spouse of former president ravalomanana, lalao ravalomanana.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: