Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mimi ni mmoja wa wawakilishi wake 100 walioalikwa kutoka duniani kote.
i am one of 100 correspondents invited from around the globe.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ninafahamu jinsi wawakilishi kutoka zedi wanavyoogopwa mle kwa sababu ya uwezo wao mkubwa.
i equally aware that zedian housemates are currently feared because of their potential.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wakati wa maandamano huko veliko tarnovo, kuna wakati wawakilishi fulani wa wanasiasa walifukuzwa .
at the rally in veliko tarnovo, they even chased some political representatives away .
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ikulu ya marekani hivi sasa ni mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kuhusu kupambana na itikadi kali ukiwa na wawakilishi kutoka kwenye nchi zaidi ya 60.
the white house is currently hosting an international 3-day summit on countering violent extremism with representatives from over 60 countries.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa hiyo, tafadhali, raia wenzangu wa zedi hebu tuige wanavyofanya watu wa nchi nyingine na kuwaunga mkono wawakilishi wetu wengine waliobaki katika mashindano ya bba.
so please, my fellow zedians lets emulate other countries and do the rest for our surviving bba stargame inmates.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hata hivyo, pasipoti za kidiplomasia zimekuwa zikitolewa kwa wawakilishi wa kanisa katoliki, kwa kutumia tafsiri ya ibara ya 6, kifungu cha 3:
however, diplomatic passports have also been traditionally conceded to representatives of the catholic church, based on the interpretation of article 6, paragraph 3:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
katika mtandao wa nyasanet, swali la ni nani atakayechaguliwa kwenye baraza la mawaziri linajadiliwa katika msingi wa wasomi waliochaguliwa kuingia kwenye baraza la wawakilishi, ambalo linafananishwa na kongamano la wasomi.
on the internet forum nyasanet, the question of who will be chosen to fill cabinet posts is being debated on the basis of the intelligentsia voted into the legislature, which is being likened to an academic symposium.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
shukrani za dhati kwa wawakilishi, ambao walikuja kutoka katika maeneo ya karibu na ya mbali katika nchi ya ufilipino, na pia wote waliokuja kutoka katika maeneo mengine duniani kwa lengo la kushiriki mkutano huu.
our attendees, who came from near and far within the philippines, and from other parts of the world, to be part of the event.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
correa aliianza awamu yake ya tatu katika bunge akishuhudiwa na wakuu wa nchi kadhaa za marekani ya kusini na ulaya, wawakilishi wa kimataifa, wabunge, mawaziri, wanafamilia wake na wanachama wa chama tawala cha alianza pais.
correa took on his third term at the national assembly before the heads of state of different latin american and european countries, international delegations, assembly members, ministers, family members, and members of the governing party alianza pais.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
"vyanzo vya habari vilivyo karibu na #rouhani vinasema kuwa, rais huyu mteule amepanga kutuma wawakilishi maalum katika nchi kadhaa kwa lengo la kurejesha uhusiano mzuri pamoja na kuanzisha ukurasa mpya na nchi ya tehran.
"sources close to #rouhani say he is planning to send special envoys to some countries to repair broken ties & start a new chapter with tehran.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
hata hivyo, wakati maandamano ya waandishi wa habari yakiendelea nchi nzima, yaliyohimiza kususia habari pamoja na kutorusha matangazo ya habari za waislam, wawakilishi wa chama cha hifazat walitoa tamko kwamba, kundi hilo lilijutia shambulizi hilo , kwa kusema "watu waovu ndio waliofanya mashambulizi hayo dhidi ya waandishi wa habari".
however, amid countrywide protest of the attacks on the journalists, which called for a boycott of news and broadcast of the news of the islamists, representatives from hifazat stated later that the group regretted the attack, saying "miscreants had carried out the attacks on scribes". hefazot islam activists attack journalist nadia sharmin as she covers their long march.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование