Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
makala zinazohusiana na suala hili zilizoandikwa na zamanta
related articles by zemanta
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
soma na sambaza makala za global voices zilizoandikwa na hisham.
read and share hisham’s past coverage for global voices
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini kuimba nyimbo zilizoandikwa na wengine halikuwa jambo linalomtosheleza.
but singing songs written by other people wasn't enough.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kituo kinasambaza machapicho ya habari na kuchapisha blogu zilizoandikwa na waandishi wa habari.
the centre distributes news content and publishes blogs written by journalists.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
that african girl ni blogu yenye mfululizo wa makala zilizoandikwa na waafrika duniani kote kuhusu maisha yao ya utotoni.
that african girl is a blog with a series of posts written by africans around the world about their childhood.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
katikati ya mwaka 2009, mradi wa gazeti lingine la mtandaoni ulizinduliwa: zafra lit, hili hutafsiri hadithi fupifupi zilizoandikwa na waandishi wacuba kwenda katika kiingereza.
in mid-2009 another blog-based magazine project went live: zafra lit, which translates short fiction by contemporary cuban writers into english.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mojawapo ya nchi zilizoandikwa katika taarifa hiyo ni ethiopia ambapo wanavijiji katika jimbo la gambella wanalazimishwa kuhamia kwenye vijiji vilivyoandaliwa na serikali ili kuwapisha "wawekezaji” kutwaa ardhi yao.
one of the countries covered in the report is ethiopia where villagers in gambella province are forced to settle in state-designated villages to pave the way for land grabbers.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
"sauti ya kiafrika ya matumaini na mabadiliko," kinakupa mtazamano wa kipekee kuhusu watu na habari za eneo hilo la afrika kupitia posti zetu zilizo bora zilizoandikwa kwa lugha ya kiingereza kwa mwaka 2012.
"african voices of hope and change," gives you an intimate perspective into the stories and people of sub-saharan africa through our best english-language posts from 2012.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
2.habari zilizoandikwa kwa uanahabari wa kijamii kule perm zilitokana na maelezo ya walioishuhudia ajali ambao hawakuwamo katika ajali (kwa bahati mbaya, hapakuwa na walionusurika kutoka katika ile ndege).
the social media coverage in perm was based on the accounts of those who witnessed the crash but were not part of it (unfortunately, there were no survivors on the plane).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
carlos serra anajiuliza kama kuna lugha nyingine zaidi, kwa mujibu wa wataalamu wa lugha mashuhuri:"kuna mtu aliniambia kuwa zipo kati ya 20 na 26; mwingine akaniambia zipo 17 zilizoandikwa na nyingine bado hazijaweza kuandikwa".
carlos serra wonders if there are more, according to two renowned linguists: "one told me that there were between 20 and 26; the other told me that there were 17 written and some yet to be spelled out".
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование