Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
alama ishara zinazodai kuachiliwa kwao huru kutoka kwenye magereza ya bahrain na misri zilitawala mtandao wa twita.
hashtags demanding their release from prison in bahrain and egypt were trending on twitter.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ramsy ama ramah (@ramjanja) alidhani kuwa taarifa za mwanzo zinazodai kuwa mlipuko umetokea eneo la westgate zilikosewa:
ramsy ama ramah (@ramjanja) suggested that initial reports claiming that an explosion had taken place at westgate were mistaken:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hatua hii inakuja baada ya waislamu kudai kuwa wanablogu wanaosaidia harakati za shahbag zinazoendelea na zinazodai adhabu kubwa kwa wahalifu wa kivita nchini humo, ambao miongoni mwao ni viongozi wakubwa wa chama kikubwa cha kiislam cha jamaat-e-islami - ni wale wasiomwamini mungu na wanaoshinikiza hali ya kutokuwepo kwa uchangamano.
this development comes after islamists had claimed that bloggers who support the ongoing shahbag movement - which demands capital punishment for the country's war criminals, some of which are high-ranking leaders of the country's largest islamist political party jamaat-e-islami - are atheist and anti-islamic, and foster anti-social elements.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: