Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ningependa bia
io e te
Последнее обновление: 2015-10-17
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ningependa kucheza lakini sina wakati.
ho voglia di giocare ma non ne ho tempo.
Последнее обновление: 2014-08-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ningependa tu kufahamu ulipata wapi ujasiri ili kufanya kazi hiyo!?
kostjantin, non hai paura che "il regime" te la faccia pagare?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
ningependa kuwashukuru walio wachache bungeni kwa kupiga kura ya kupinga hatua ya kuniondoa madarakani.
vorrei ringraziare la minoranza che ha votato contro l'impeachment.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
baadae mwaka huu ningependa kufanya mazungumzo na warsha kadhaa kuwahamasisha watu nchini mauritania kuchora kutokana na uchunguzi.
entro la fine dell’anno mi piacerebbe tenere qualche conferenza e workshop per incoraggiare più persone in mauritania a disegnare dal vivo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
natumaini kufanya hivyo sasa. ningependa kuwaoneni nikiwa safarini kwenda spania na kupata msaada wenu kwa safari hiyo baada ya kufurahia kuwa kwa muda pamoja nanyi.
quando andrò in spagna spero, passando, di vedervi, e di esser da voi aiutato per recarmi in quella regione, dopo avere goduto un poco della vostra presenza
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ningependa watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mmoja anacho kipaji chake kutoka kwa mungu; mmoja kipaji hiki na mwingine kile.
vorrei che tutti fossero come me; ma ciascuno ha il proprio dono da dio, chi in un modo, chi in un altro
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ndugu zangu, nataka mjue kwamba mara nyingi nilikusudia kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. ningependa kupata mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata kati ya watu wa mataifa mengine.
non voglio pertanto che ignoriate, fratelli, che più volte mi sono proposto di venire fino a voi - ma finora ne sono stato impedito - per raccogliere qualche frutto anche tra voi, come tra gli altri gentili
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate ninyi.
però se ti sposi non fai peccato; e se la giovane prende marito, non fa peccato. tuttavia costoro avranno tribolazioni nella carne, e io vorrei risparmiarvele
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
basi agripa akamwambia festo, "ningependa kumsikia mtu huyu mimi mwenyewe." festo akamwambia, "utamsikia kesho."
e agrippa a festo: «vorrei anch'io ascoltare quell'uomo!». «domani, rispose, lo potrai ascoltare»
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
lakini mina zekri anatukumbusha : @minazekri: ningependa kuwakumbusha nyinyi wote kwamba uamuzi huu ni uamuzi wa mwanzo tuu na twapaswa tungoje koti ya rufaa baada ya washtakiwa kukata rufaa dhidi ya uamuzi.
@minazekri : vorrei ricordare a tutti voi che questo è solo il verdetto iniziale e dovremmo attendere la corte d'appello quando gli imputati avranno fatto ricorso contro la decisione. asteris masouras registra le reazioni dei netizen su twitter su storify, come anche ryana st e noon arabia. ulteriori rilanci hanno usato l'hashtag #mubaraktrial.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
vilevile kule gaza, kawther abu hani anamsikiliza mama yake akielezea kumbukumbu alizonazo: “ningependa kujua nini kiliipata nyumba yetu ndogo tuliyoiacha kule nazareti miaka mingi iliyopita ... hivi, vile vilima siku hizi vinaonekana vipi?
sempre a gaza, kawther abu hani ascolta i ricordi della madre : "mi piacerebbe sapere cosa ne è stato della nostra casetta, che abbiamo lasciato a nazareth anni fa… come saranno le colline dopo tutto questo tempo?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование