Fråga Google

You searched for: consistently (Engelska - Swahili)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

However, ever since the start of the scheme, reports of embezzlement of food meant for children have consistently surfaced.

Swahili

Hata hivyo, tangu kuanza kwa utaratibu huu, kumekuwa na taarifa za wazi za ubadhirifu wa chakula kilichokusudiwa kwa wanafunzi.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

The contrast is all the more striking in Africa since the poverty level has been at a consistently high level for decades, despite the continent's significant average GDP growth.

Swahili

Tofauti hiyo inasikitisha zaidi Afrika kwa sababu kiwango cha umasikini kimeendelea kuwa juu kwa miongo mingi mfululizo, pamoja na kukua kwa wastani wa Pato la taifa barani humu.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

All types of PPE must be selected based upon the hazard to the worker, properly fitted as applicable (e.g., respirators), consistently and properly worn, regularly inspected, maintained, and replaced, as necessary, and properly removed, cleaned, and stored or disposed of to avoid contamination.

Swahili

Aina zote za PPE lazima zichaguliwe kulingana na hatari kwa mfanyakazi, na kuvaliwa vyema inavyotakikana (k.m., mashine za kusaidia kupumua), kila wakati na kuvaliwa vizuri, kukaguliwa mara kwa mara, kudumishwa, na kubadilishwa, inavyotakikana, na kuondolewa vizuri, kusafishwa, na kuwekwa au kutupwa kuzuia maambukizi.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

Hand washing with soap consistently at certain "critical moments" during the day prevents the spread of many diseases, for example diarrhoea and cholera, which are transmitted through fecal–oral route.

Swahili

Kuosha mikono kwa sabuni kila mara katika "nyakati fulani muhimu" wakati wa mchana huzuia kuenea kwa magonjwa mengi, kwa mfano kuendesha na kipindupindu, ambayo husambazwa kupitia njia ya kinyesi kufika kwa mdomo.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Engelska

In addition, Canada-based Iranian blogger, Arash Kamangir's Didish Report, which searches Iranian site feeds for links to other sites, consistently shows that we are at the top of the list for receiving links.

Swahili

Kadhalika, katika blogu Didish Report ya bloga wa Ki-Irani aishiye nchini Kanada Arashi Kamangir ambayo hutafiti tovuti zenye viungo kuelekea tovuti nyingine, inaonyesha kiudhabiti kuwa tupo juu kwenye orodha ya tovuti inayopata viungo kuwaelekea.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

In his interviews and statements, Museveni has consistently focused on two issues: On the recruitment of homosexuals (and related with this, the ‘recruited’, those who become homosexuals for ‘mercenary reasons’), and secondly, ‘exhibitionism’ of homosexual behavior.

Swahili

Katika mahojiano yake pamoja na matamko, Museveni mara zote alikuwa amejikita katika masuala mawili: Kwenye ufundishaji wa watu kuwa mashoga (na linalofanana na hili, ni, wale wanaofundishwa, wale ambao wanageuka kuwa mashoga kwa sababu za kibiashara) na pili, kuonyesha hadharani tabia ya ushoga.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

In the following years, the bill was weakened and consistently shelved, (in 2009, 2011 and 2013), until it reappeared on 20th December 2013, when it was passed by parliament.

Swahili

Mwaka unaofuata, muswada ulififia na ukawekwa kapuni, (mwaka 2009, 2011 na 2013), mpaka ulipoonekana tena Desemba 20, 2013, ulipopitishwa na bunge.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
4,401,923,520 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK