You searched for: proposed (Engelska - Swahili)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

the proposed revision is currently under review at the senate.

Swahili

mabadiliko yanayopendekezwa yanafanywa na baraza la seneti.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

according to metropolehaiti, the usa have already proposed humanitarian assistance.

Swahili

kwa mujibu wa metropolehaiti, marekani tayari imekwishapendekeza misaada ya kibinadamu.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the proposed policies can be readily implemented if given the political will.

Swahili

sera zilizopendekezwa zinaweza kutekelezwa vizuri kama zitapewa kipau mbele na serikali.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the proposed law is expected to refer to homemakers as "home engineers".

Swahili

kwa mujibu wa sheria hiyo, wafanyakazi wa ndani wanachukuliwa kama " wahandisi wa kazi za nyumbani ".

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Engelska

but really, the proposed 10-year expiry on marriage contracts is not funny.

Swahili

lakini kweli, pendekezo la mkataba wa ndoa unaoisha nguvu baada ya miaka 10 halichekeshi.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

as expected, the proposed marriage license with expiration date generated an intense reaction in the blogosphere.

Swahili

kama ilivyotarajiwa, muswada huo wa ndoa uliopendekezwa ambao una muda wa kuwa na nguvu kisheria umezua mijadala katika ulimwengu wa blogu.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the idea to organize an embargo of the port was proposed and widely "re-tweeted":

Swahili

wazo la kuandaa vikwazo bandarini lilipendekezwa na likaenezwa kwa "kutuma tena na tena jumbe za twita":

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Engelska

look at the ridiculous things that kuffuor proposed that should be given to him when he became e- president.

Swahili

angalia mapendekezo ya ajabu aliyoyatoa kuffuor kwamba afanyiwe pale atakapo sio rais tena.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

on december 20, 2010, the council of islamic ideology also announced proposed amendments to the law to prevent its misuse.

Swahili

mnamo tarehe 20, desemba 2010, baraza la itikadi za kiislamu pia ilitangaza mabadiliko yaliyopendekezwa ili kuifanya sheria hiyo isitumiwe vibaya.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

amongst the contentious issues include the proposed model of government, the controversial issue of natural resources and the religious influence.

Swahili

miongoni mwa mambo yanayojadiliwa ni pendekezo la mfumo wa serikali, mkanganyiko wa masualaa ya mali asili na ushawishi wa kidini.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

ji, et al., proposed snakes as a carrier of the virus from bats to humans which involved homologous recombination within the s protein.

Swahili

ji na wenzake, walipendekeza nyoka kuwa wabebaji virusi kutoka kwa popo hadi kwa binadamu jambo lililohusisha ujumuishaji tena unaofanana ndani ya protini ya s.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

she also mentioned that the local hospital collapsed due to the number of people injured. the constitutional reform proposed by the president, which they disapprove.

Swahili

pia alitanabaisha kuwa, hospitali ya mtaa ilizidiwa na wagonjwa kutokana na idadi kubwa ya watu waliojeruhiwa. marekebisho ya katiba yaliyopendekezwa na rais ambayo wananchi hawajakubaliana nayo.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

analysts say the proposed law is seemingly a milestone, but one that may fracture somalia further into autonomous and semi-autonomous regions as well as ministates.

Swahili

wachambuzi wanasema kuwa mswada wa sheria uliopendekezwa unaonekana kama hatua muhimu sana, lakini ambayo inaweza kuigawa zaidi somalia katika maeneo mawili yanayojitegemea au yenye aina fulani ya kujitegemea, na hata kufikia kuwa na majimbo madogo madogo.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

according to insiders fgm is now permitted by the newly proposed somali constitution, which will be presented for adoption to selected "traditional leaders".

Swahili

kwa mujibu wa chanzo cha habari kilichopo ndani ya serikali ya mpito ya shirikisho (fgm) kwa sasa imeruhusiwa na katiba mpya ya somalia iliyopendekezwa, ambayo itawasilishwa kwa utekelezaji kwa baadhi ya “viongozi wa jadi” waliochanguliwa.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Engelska

at least 19 violent incidents have been documented since the beginning of 2014 in burundi ahead of the presidential elections. the unrest centers on amendments to the constitution proposed by president nkurunziza that could allow him to run for a third term.

Swahili

angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na rais nkurunziza ambayo inaweza kumruhusu kugombea kwa awamu ya tatu.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

also on sunday, the socialist janata (democratic) party in kerala voiced support to people agitating against the proposed nuclear project at koodankulam in tamil nadu.

Swahili

pia, siku ya jumapili, chama cha kijamaa cha janata (cha kidemokrasia) huko kerala kilitoa tamko la kuonesha ushirikiano na watu wanaopinga mpango wa mradi wa mitambo ya nyuklia huko koodankulam katika jimbo la tamil nadu.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

instead, the dam is designed to regulate the flow of the sanaga river in order to increase energy production from existing and proposed downstream hydropower plants serving the southern electricity grid and the country’s single largest electricity consumer, the alucam aluminum smelter.

Swahili

badala yake, bwana limebuniwa kudhibiti maji ya mto sanaga ili kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye mashine za kufua umeme zilizopo tayari na zile zinazokusudiwa kujengwa ili kutosheleza mkondo wa umeme wa kusini pamoja na mgodi wa machimbo ya madini ya aluminiam wa alucm unaotumia umeme zaidi nchini humo.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

abnormal laboratory findings: the c-reactive protein (crp) level in blood reflects the severity of inflammation or tissue injury and has been proposed to be a potential prognostic factor for disease, response to therapy, and ultimate recovery.

Swahili

matokeo yasiyo ya kawaida ya mahabara. kiwango cha protini ya c-reactive (crp) ndani ya damu inaakisi hali ya kuchomeka au majeraha ya tishu na zimependekezwa kuwa kigezo cha uwezo wa kupona, hali ya kupokea tiba na uponyaji hatimaye.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
8,085,679,936 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK