Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
kwa kuhesabu kuanzia alipochukua madaraka, museveni amekuwa kiongozi wa nrm, rais na amiri jeshi mkuu kwa miaka 29.
counting from when he came to power, museveni has been leader of nrm, president and commander-in-chief for 29 years.
katika tamko rasmi la serikali, rais ambaye ndiye mwenye mamlaka ya mwisho na aliye amiri jeshi mkuu wa jeshi la guatemala alitanabaisha kuwa ameshatoa amri ya kufanyika kwa uchunguzi kuhusiana na uonevu na mauaji toka octoba 4.
in an official statement, the president -who is the maximum authority and commander in chief of the guatemalan army- indicated that he has ordered an investigation into the violence and deaths from october 4.
kisha, jeshi la misri lilitwaa madaraka, chini ya uongozi wa amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi nchini misri na waziri wa ulinzi, jenerali abdul fattah el sisi, ambaye baadae alichaguliwa kuwa rais mpya wa misri.
then, the egyptian army took command, under the leadership of commander-in-chief of the egyptian armed forces and minister of defence general abdul fattah el sisi, who was later on elected as the new president of egypt.