You searched for: kafara (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

hii ndiyo kafara ya viapo vyenu mnapo apa.

Engelska

that is the atonement for breaking your oaths when you have sworn them.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

lakini atakaye samehe basi itakuwa ni kafara kwake.

Engelska

but if any one remits the retaliation by way of charity, it is an act of atonement for himself.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hii ndiyo kafara ya viapo vyenu mnapo apa. na hifadhini yamini zenu.

Engelska

that is the expiation of your oaths when ye have sworn and bear in mind your oaths.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

asiye pata hayo, basi afunge siku tatu. hii ndiyo kafara ya viapo vyenu mnapo apa.

Engelska

one who cannot pay this, he must fast for three days to expiate his oaths.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

walio sema: mwenyezi mungu ametuahidi tusimuamini mtume yeyote mpaka atuletee kafara inayo teketezwa na moto.

Engelska

(those are they) who said: surely allah has enjoined us that we should not believe in any apostle until he brings us an offering which the fire consumes.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

basi kafara yake ni kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho walisha ahali zenu, au kuwavisha, au kumkomboa mtumwa.

Engelska

its expiation is the feeding of ten needy (people) with such food as you normally offer to your own people; or the clothing of them; or the freeing of a slave.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hii inafanyika kwa kumkumbuka abraham, ambaye alikuwa tayari kumtoa mwanae wa pekee kafara kwa mungu, kabla mungu hajamwambia kumtoa kondoo badala yake.

Engelska

this is done in honor of abraham, who was willing to sacrifice his son for god, before god told him to sacrifice a sheep instead.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

basi kafara yake ni kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho walisha ahali zenu, au kuwavisha, au kumkomboa mtumwa. asiye pata hayo, basi afunge siku tatu.

Engelska

the expiation (for breaking such oaths) is either to feed ten needy persons with more or less the same food as you are wont to give to your families, or to clothe them, or to set free from bondage the neck of one man; and he who does not find the means shall fast for three days.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mwenyezi mungu hatakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi, lakini atakushikeni kwa mnavyo apa kweli kweli kwa makusudio. basi kafara yake ni kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho walisha ahali zenu, au kuwavisha, au kumkomboa mtumwa.

Engelska

allah does not call you to account for what is vain in your oaths, but he calls you to account for the making of deliberate oaths; so its expiation is the feeding of ten poor men out of the middling (food) you feed your families with, or their clothing, or the freeing of a neck; but whosoever cannot find (means) then fasting for three days; this is the expiation of your oaths when you swear; and guard your oaths.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

na miongoni mwenu atakaye muuwa makusudi, basi malipo yake yatakuwa kwa kuchinja kilicho sawa na alicho kiuwa, katika mifugo, kama wanavyo hukumu waadilifu wawili miongoni mwenu. mnyama huyo apelekwe kwenye al kaaba, au kutoa kafara kwa kuwalisha masikini; au badala ya hayo ni kufunga, ili aonje ubaya wa jambo lake hili.

Engelska

and anyone among you who does so on purpose should offer livestock of equivalent value, determined by two honourable persons among you, (as atonement), to be brought to the ka'bah as an offering; or else expiate by giving food to the poor, or its equivalent in fasting, so that he may realise the gravity of his deed.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
8,083,918,937 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK