Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
wakati huo huo, ken menkhaus katika tovuti ya think progress alikubali kwamba al-shabab imedhoofishwa kwa hakika.
meanwhile, ken menkhaus over at think progress concured that al-shabab is indeed weakened.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
polisi wa uganda wameeleza kwamba huenda milipuko hiyo imefanywa na kikosi cha wapiganaji wa ki-somali cha al-shabab.
ugandan police have suggested that somali militant group al-shabab was behind the attacks.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hili linaonekana kuwa bayana katika video mpya iliyotolewa na al-shabab ikiwaonyesha vijana watatu wa ki-somali waliouawa wakati wa vita.
this seems evident in new footage released by al-shabab featuring three young somali-americans who died while waging war.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
katikaujumbe wa sauti wa hivi karibuni, ahmed godane, kiongozi mkuu wa operesheni za al-shabab, aliweka wazi kwamba alikuwa amekusudia kubadili mbinu za operesheni zake.
in a recent audio message, ahmed godane, al-shabab’s operational brain, made it clear that he is determined to reverse the organization’s plummeting operations.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mnamo septemba 21, 2013, kikundi cha watu wenye silaha wanaodhaniwa kuwa al-shabab walivamia jengo la westgate jijini nairobi, mji mkuu wa kenya, wakiua watu wasiopungua 61, wanausalama sita na kujeruhi mamia ya watu wasio na hatia wakiwamo watoto.
on september 21, 2013, a group of suspected al-shabab militants stormed westgate mall in nairobi, the capital city of kenya, killing at least 61 people, six security personnel and injuring hundreds of innocent men, women and children.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: