You searched for: shule ya msingi ina watoto wachache sana (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

shule ya msingi

Engelska

darasa la tano

Senast uppdaterad: 2020-12-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

taarifa kutoka wizara ya mambo ya ndani iliwatambua wakosefu hao kuwa ni mwanafunzi wa shule ya msingi na mwanafunzi mwingine mkubwa.

Engelska

a statement from the interior ministry identified the culprits as a school pupil and a student.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ikiwezekana, kipindi cha wanafunzi wa shule ya msingi haifai kuwa zaidi ya dakika 20, na si zaidi ya dakika 40 kwa wanafunzi wa shule ya upili.

Engelska

preferably, the unit for primary school students should not be more than 20 minutes, and no longer than 40 minutes for secondary school students.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

unahitaji kusoma kwa makini sera inavyosema: inasema kiswahili kitafundishwa katika ngazi zote na pia inasema kiingereza kitaendelea kutumika katika ngazi zote (maana yake ni pamoja na shule ya msingi).

Engelska

you need to read carefully what the policy says: it says swahili will be used at all levels and also says english will be used at all levels (that means including primary level).

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hebu fikiria umekulia sehemu za vijijini nchini uganda, ukiwa kwenye baiskeli ya walemavu, ukipewa motisha na mama ambaye anaamini kuwa lazima uelimika na kufikia uwezo wako bila kujali hali. fikiria kusukuma baiskeli au kile kiti kinachotumiwa na walemavu kwenye matope wakati mvua ikinyesha, lakini zaidi ya yote fikiria wanafunzi wenzako unaosoma nao shule ya msingi walioamka masaa mawili kabla ili wakusukume maili hizo mbili hadi ufike shuleni kwako.

Engelska

think about growing up in rural uganda, in a wheelchair, motivated by a mother who believes that you must get educated and achieve your potential no matter the circumstances, think about pushing a wheelchair through the muddy roads when it rains, but most of all, think about the village schoolmates in primary school who had to wake up two hours earlier so that they can help push you two miles to the primary school.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa majina naitwa edimundi arbogast mtaki ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto wanne wa familia ya marehemu francis. nimezaliwa mwaka 1990 katika manispaa ya shinyanga. elimu yangu ya shule ya msingi nimesomea manispaa ya shinyanga katika shule ya msingi uhuru kuanzia mwaka 1996 na kuhitimu darasa la saba mwaka 2002. mwaka 2003 nilianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari buluba iliyopo manispaa ya shinyanga na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2006 na kupata daraja la iii:22. mwaka 20

Engelska

my name is edimundi arbogast mtaki is the first child born out of four children of the family of the late francis. i was born in 1990 in shinyanga municipality. my primary school education i studied at shinyanga municipality at uhuru primary school from 1996 and graduated from class seven in 2002. in 2003 i started my first form at buluba secondary school in shinyanga municipality and graduated from form four in 2006 and got grade iii: 22. year 20

Senast uppdaterad: 2020-11-16
Användningsfrekvens: 3
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kidokezo: takwimu zinaoana na idadi ya jumla ya wanafunzi waliojisajili katika viwango vya chekechea, shule ya msingi, viwango vya chini ya shule ya upili, viwango vya juu vya shule ya upili [isced viwango 0 hadi 3], na vilevile viwango vya masom anuwai [isced viwango vya 5 hadi 8] ambao huenda wakaathirika endapo shule zote zikafungwa kote nchini.

Engelska

note: figures correspond to total number of learners enrolled at pre-primary, primary, lower-secondary, and upper-secondary levels of education [isced levels 0 to 3], as well as at tertiary education levels [isced levels 5 to 8] who could be affected should localised closures become countrywide.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ripoti ya mwaka 1974 ya world bank ilifafanua elimu rasmi kuwa yafuatayo:elimu rasmi: mfumo wa elimu weny utaratibu uliopangwa, kimuda na ulio na viwango, unaoanza katika ngazi ya shule ya msingi hadi katika chuo kikuu, pamoja na masomo ya kawaida ya kiakademia, mipango anuwai maalum na taasisi kwa ajili ya mafunzo ya muda mzima ya kiufundi na kitaaluma.idadi kubwa ya data iliyokusanywa ya idadi ya wanafunzi na wasomaji walioathirika na covid-19 imehesabiwa kulingana na kufungwa kwa mifumo rasmi ya shule.

Engelska

a 1974 report by the world bank defined formal education as the following:formal education: the hierarchically structured, chronologically graded ‘education system’, running from primary school through the university and including, in addition to general academic studies, a variety of specialised programmes and institutions for full-time technical and professional training.the majority of data collected on the number of students and learners impacted by covid-19 has been calculated based on the closure of formal education systems.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

taasisi ya takwimu ya unesco hutoa takwimu kuhusu idadi ya wanafunzi walioathirika na covid-19 inayooana na idadi ya wanafunzi walio katika chekechea, shule ya msingi, kiwango cha chini ya shule ya upili na kiwango cha juu cha shule ya upili [isced viwango 0 hadi 3], pamoja na viwango vya masomo katika vyuo vya mafunzo anuwali [isced viwango 5 hadi 8].

Engelska

the unesco institute for statistics provides figures on students impacted by covid-19 corresponding to the number of learners enrolled at pre-primary, primary, lower-secondary, and upper-secondary levels of education [isced levels 0 to 3], as well as at tertiary education levels [isced levels 5 to 8].

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
4,401,923,520 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK