You searched for: vitendo vilivyo na athari mbaya na hatari (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

pamoja na hayo, dalili za maambukizi kama vile joto jingi mwilini, ukosefu wa hewa safi ya kutosha kwenye viungo vya mwili na kikohozi pamoja na athari mbaya za matibabu kama vile ukosefu wa usingizi unaosababishwa na dawa zinazopunguzwa hali ya kuchomeka kwa mwili yanaweza kusababisha wasiwasi na msongo wa mawazo.

Engelska

furthermore, symptoms of the infection such as fever, hypoxia, and cough as well as adverse effects of the treatments such as insomnia caused by corticosteroids can lead to more anxiety and mental distress.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ingawa athari ya mabadiliko ya hali ya hewa katika ueneaji jangwa bado haijaeleweka vema, yaani kwa mujibu wa greenfacts, inafahamika kwamba viwango vya juu vya joto vinavyotokana na kuongezeka kwa viwango vya dioksidii ya kaboni kunaweza kuwa na athari mbaya kutokana na kuongezeka kwa upotevu wa maji kutoka ardhini na kupungua kwa viwango vya mvua katika maeneo yenye ukame.

Engelska

although the influence of climate change on desertification has not been fully understood yet, according to greenfacts, it is known that higher temperatures resulting from increased carbon dioxide levels can have a negative impact through increased loss of water from soil and reduced rainfall in drylands.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kuharibika kwa uchumi wa kimataifa kumekuwa na athari mbaya nchini china: kulingana na ripoti ya vyombo vya habari ya tarehe 16 machi, uchumi wa china uliathirika pakubwa katika miezi miwili ya kwanza ya 2020 kwa sababu ya hatua zilizochukuliwa na serikali kupunguza kuenea kwa virusi na mauzo ya rejareja yalipungua kwa 20.5%.

Engelska

damage to the global economy has been felt in china: according to a media report on 16 march, the economy in china was very hard hit in the first two months of 2020 due to the measures taken by the government to curtail virus spread, and retail sales plunged 20.5%.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.

Få en bättre översättning med
4,401,923,520 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK