Google'a Sor

Şunu aradınız:: affiliated (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

The suicide explosions were carried out by two women allegedly affiliated with the North Caucasus rebels .

Svahili

Milipuko hiyo ya mabomu ya kujiua ilifanywa na wanawake wawili wanaodaiwa kuwa na uhusiano na Waasi wa Caucasus Kaskazini .

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

A protest organized by three groups affiliated with the Israeli social justice movement (#j14) was held in Jerusalem on Saturday night (June 8).

Svahili

Maandamano yaliyoandaliwa na vikundi vitatu vinavyohusiana na Vuguvugu la Israel la haki ya kijamii (#j14) yalifanyika jijini Yerusalemu mnamo Jumamosi usiku (Juni 8).

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

A Nigerian Christian author, Preacher, founder and Presiding Bishop of Living Faith Church World Wide also known as Winners Chapel and its affiliated International churches known as Winners Chapel International, with headquarters in Ogun State, Nigeria.

Svahili

(David Oyedepo) ni Mwandishi wa vitabu vya Kikristo nchini Naijeria, Mhubiri, mwasisi na Askofu Mkazi wa Kanisa liitwalo “Living Faith Church World Wide” (tafsiri isiyo rasmi: Kanisa la Imani Hai Ulimwenguni) linalojulikana pia kama Winners Chapel (Kanisa la Washindi) na lililoanzisha makanisa yaliyoenea duniani kote yajulikanayo kama Winners Chapel International, yenye makao yake makuu kwenye Jimbo la Ogun , nchini Naijeria.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

Early this May the blogosphere discussed two Twitter accounts which were affiliated with President Karimov’s daughter Gulnara Karimova. The first one, @GuliKarimova, does not exist anymore.

Svahili

Mapema Mei wanablogu walizijadili akaunti mbili za twita ambazo zilihusishwa na binti wa Rais, Gulnara Karimova.Ya kwanza, @GuliKarimova, haipo tena kwa sasa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

Data from laboratory-confirmed COVID-19 cases reported to CDC from 50 states, four U.S. territories and affiliated islands, the District of Columbia, and New York City with February 12–March 28, 2020 onset dates were analyzed.

Svahili

Data kutoka visa vya COVID-19 vilivyothibitishwa kwenye mahabara zilizoripotiwa kwa CDC kutoka majimbo 50, himaya nne za Marekani na visiwa husiani, Wilaya ya Kolombia na Jiji la New York zikiwa na tarehe za kuanza baina ya 12 Februari - 28 Machi 2020, zilichanganuliwa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

"A million men march to demand the fall of Ganzouri's cabinet" read the official newspaper of the Freedom and Justice Party (FJP, affiliated with the Muslim Brotherhood) after events that have left the Egyptian population baffled.

Svahili

“Watu milioni waandamana kushinikiza kung’oka kwa baraza la Ganzouri” ndivyo kilivyosomeka kichwa cha habari cha gazeti rasmi la chama cha FJP (Freedom and Justice Party, yaani Chama cha Uhuru na Haki) kinachohusishwa na kundi la Kiislamu lenye msimamo mkali linalojulikana kama Muslim Brotherhood baada ya matukio yaliyowashangaza watu wengi nchini Misri.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
4,401,923,520 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam