Şunu aradınız:: locked (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

locked

Svahili

imefungwa

Son Güncelleme: 2017-09-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

on january 23, the city of wuhan was locked down with all its public transportation stopped.

Svahili

tarehe 23 januari, shughuli za kawaida jiji wuhani zilifungwa na usafiri wa umma kusitishwa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

but these things did joseph keep locked in his heart, revealing not the secrets to them.

Svahili

lakini yusuf aliyaweka siri moyoni mwake wala hakuwaonyesha.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

verily the deeds of the wicked are in the record locked up in the prison-house!

Svahili

hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika sijjin.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

and that which is (locked up) in (human) breasts is made manifest-

Svahili

na yakakusanywa yaliomo vifuani?

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

they wanted to tell the world that they are here, inside, locked up only physically within concrete and iron.

Svahili

walitaka kuuambia ulimwengu kuwa tupo hapa, ndani, tumezuiwa kimwili tu kwa kuta za matofali na chuma.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

do they not then earnestly seek to understand the qur'an, or are their hearts locked up by them?

Svahili

hawaizingatii hii qur'ani? au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli?

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

do they not then think deeply in the quran, or are their hearts locked up (from understanding it)?

Svahili

hawaizingatii hii qur'ani? au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli?

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

if he does not yield to me, i shall order him to be locked up in prison to make him humble."

Svahili

na akitofanya ninayo muamrisha basi hapana shaka atafungwa gerezani, na atakuwa miongoni mwa walio chini kabisa.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

that is, any suspect can be locked up here, and in contemporary ukraine it absolutely does not mean that one has to be a real criminal.

Svahili

ndiyo kusema, yeyote anayeshukiwa kwa lolote anaweza kutupwa ndani yake, na katika ukraine ya sasa, haina maana kwamba mtu huyo lazima awe mhalifu wa kweli.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

women are not locked up at home and any who are is a matter of the family culture not the country, still with me?

Svahili

wanawake hawafungiwi nyumbani na yeyote yule ambaye kwamba hilo ni jambo la utamaduni wa familia na siyo nchi, upo?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

civilians have so far become the underdogs caught in the crossfire, targeted for no reason or locked in their homes without food or water in juba.

Svahili

mpaka sasa, maraia wamekuwa nyasi zinazoumia fahali wawili wapiganapo; wamevamiwa bila sababu au kufungiwa kwenye nyumba zao mjini juba bila chakula au maji.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

say, "had you owned the treasures of the mercy of my lord, you would have locked them up for fear of spending them.

Svahili

sema: lau kuwa nyinyi mnazimiliki khazina za rehema za mola wangu mlezi, basi hapana shaka mngeli zuia kuzitumia kwa ajili ya kukhofu.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

his master's wife then tried to seduce him. she locked the doors and said to him, "come on."

Svahili

na yule bibi wa nyumba aliyo kuwamo yusuf alimtamani kinyume cha nafsi yake, na akafunga milango. akamwambia: njoo!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

i am one of the beneficiaries of a loan in your bank i need help with deduction deductions from the deduction requesting the deduction to be made at 30% and the rest to be left in my account with my account being locked

Svahili

mimi ni mmoja wa wafaidika wa mkopo katika bank yako ninahitaji msaada wa punguzo la makato katika pesa niliyopata katika kupunguzwa kazi nikiomba makato hayo yafanyike kwa 30% na hela ingine niachiwe katika account yangu pamoja na kufunguliwa account yangu ambayo iko locked

Son Güncelleme: 2020-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

it also shows that in bolivia, one mbps costs between 6 and 11 times more than in neighbouring countries including paraguay, also a land-locked country.

Svahili

mchoro huo unaonyesha pia kwamba nchini bolivia, megabaiti moja kwa sekunde inagharimu kati ya mara 6 na 11 zaidi ya inavyokuwa katika nchi nyingine za jirani kama paraguay, nchi ambayo ina eneo dogo sana la ardhi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

the 22-minute execution video showing al-kaseasbeh being burned to death, while locked in a cage, is highly stylized and edited with graphics.

Svahili

video ya mauaji ya dakika 22 inayoonesha al-kaseasbeh akichomwa moto hadi kufa akiwa amefungiwa kwenye kibanda, ikiwa imeboreshwa na kuhaririwa kwa kiasi kikubwa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

you have to daily face the police, risk being teargased or even locked for doing the job that you must do — meeting potential voters even when elections are five years away or performing the most important function, that of providing checks and balances.

Svahili

unakabiliana na polisi kila siku, hatari ya kutupiwa gesi ya machozi au hata kufungwa kwa ajili ya kufanya kazi ambayo lazima uifanye - kukutana na wapiga kura hata wakati ambapo uchaguzi ni miaka mitano ijayo au kufanya kazi muhimu zaidi, ile ya kutoa hundi na mizani.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

in punjab, khan's party is locked in a bitter political tussle with pakistan muslim league (pml-n). despite this, pml-n head, nawaz sharif, expressed his grief over the incident and decided to stall his party's election campaign for a day, as a show of solidarity with khan.

Svahili

huko punjab, chama cha khan kinakabiliana na hali ngumu ya ushindani wa kisiasa dhidi ya chama cha pakistan muslim league (pml-n). pamoja na hali hii, kiongozi wa pml-n, nawaz sharif, alionesha kuguswa kwake na tukio hili na hivyo kuamua kusitisha kampeni za chama chake kwa siku moja kama namna ya kuonesha hali ya umoja kati yake na khan.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
4,401,923,520 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam