Google'a Sor

Şunu aradınız:: painting (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

Painting

Svahili

Uchoraji

Son Güncelleme: 2014-09-28
Kullanım Sıklığı: 7
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Painting by Federico Boyd Sulapas Dominguez.

Svahili

Imechorwa na Federico Boyd Sulapas Dominguez.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

One of the shooters given a religious treatment in a painting by an unknown author.

Svahili

Mmoja wa wahalifu hao akipewa hadhi ya kidini kwa kutumia mchoro na mchoraji asiyefahamika.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Painting my neighborhood program will create 150 positions for young people from the community.

Svahili

Mpango huo wa kuendeleza majirani utatengeneza nafasi 150 za vijana wanaotoka kwenye jamii hizo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Federico Boyd Sulapas Dominguez uploaded this painting in time for the Asia-Pacific Economic Cooperation Summit which will be held in the Philippines.

Svahili

Federico Boyd Sulapas Dominguez alipakia mchoro huu wakati wa kuelelekea kwenye kongamano la Ushirika wa Kiuchumi la Asia-Pacific linalotarajiwa kufanyika nchini Ufilipino.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

In a blog post in The Daily Beast she doesn’t leave much to be said by painting a grim picture of child abuse:

Svahili

Katika makala yake kwenye blogu inayoitwa The Daily Beast wala haachi neno pasipo kulisema na hivyo kutengeneza taswira halisi ya vitendo vya unyanyasaji watoto:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Aside from exposing the negative impact of militarization, the painting also shows how government laws unfairly discriminate against the Philippines' ethnic communities.

Svahili

Mbali na kuweka bayana athari za matumizi ya nguvu za kijeshi, michoro yake pia inaonesha namna ambavyo sheria za nchi zinavyobagua jamii za makabila ya nchini Ufilipino.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

The text at the borders of the painting reads: Respect the rights of indigenous peoples and their right to self-determination.

Svahili

Maandishi chini ya mchoro yanasomeka: Heshimu haki za raia wazawa na haki yao ya kusimamia mambo yao.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Over the past 40 years, Filipino artist Federico Boyd Sulapas Dominguez has been painting the efforts of indigenous peoples to combat destructive mining, development aggression, and militarization.

Svahili

Kwa kipindi cha miaka 40 iliyopita, msanii wa Kifilipino Federico Boyd Sulapas Dominguez amekuwa akiandaa picha zinazoonesha harakati za wazawa katika kukomesha uchimbaji madini wa uharibifu, utafutaji maendeleo usiojali haki, pamoja na matumizi ya nguvu za kijeshi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

The female reproductive organ seems all but banned from social networks, even in the case of a reproduction of Gustave Courbet's famous 1866 painting The Origin of the World.

Svahili

Via vya kike vinaonekana kuwa ndiyo michoro inayoongoza kupigwa marufuku kwenye mitandao ya kijamii, hata kwenye sanaa ya mchoro maarufu wa Gustave Courbet wa mwaka 1866 unaojulikana kama The Origin of the World. .

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

IF: Urban Sketchers is a non-profitmaking, international organisation, dedicated to fostering the art of on-location drawing and painting.

Svahili

IF: Wachoraji wa Mjini ni jumuiya ya watu wasiotengeneza faida yoyote, jumuiya ya kimataifa, inayojikita kukuza sanaa ya uchoraji na upakaji rangi wa mahali fulani.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Actually I left London in March 2003 to go back and settle in Portugal; I had finished a BA in Fine Arts at the Wimbledon School of Arts in 2000, and I stopped painting for the next three years, so I decided it was time to go.

Svahili

Kwa kweli niliondoka London mwezi Machi 2003 kwa lengo la kwenda na kutulia Ureno; Nilikuwa nimemaliza Shahada yangu ya Sanaa (BA) katika Uchoraji katika Shule ya Sanaa ya Wimbledon mwaka 2000,, na nikaacha kuchora kwa miaka mitatu iliyofuata, kwa hiyo nikaamua ulikuwa ni wakati wa kuondoka.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

"He's one of those artists that when you go past one of his paintings, you instantly know it's a Rei Blinky. There's no one else like him," Janowitz says.

Svahili

"Huyu ni mmoja wa wale wasanii ambao ukipitia kazi zake utajua tu kuwa ni yuleyule Rei Blinky.Hakuna mwingine kama yeye" anasema Janowitz.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

#twitter blocked in #turkey tonight. folks are painting #google dns numbers onto the posters of the governing party. pic.twitter.com/9vQ7NTgotO — Engin Onder (@enginonder) March 21, 2014

Svahili

Mtandao wa twita umefungiwa leo nchini Uturuki, jamaa wanatengeneza huduma ya DSN ya google kwenye mabango ya chama tawala

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

At Accra's tourist market, Obama t-shirts and paintings are flying off the shelves and Ghanaians are hoping for a boost in tourism after the visit.

Svahili

Katika soko la kitaalii la mjini Accra, fulana za Obama na michoro zinauzwa haraka kutoka kwenye safu na Waghana wanategema kupanda kwa biashara ya utalii baada ya ziara.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Below are some of Federico’s paintings:

Svahili

Ifuatayo ni baadhi ya michoro ya Federico:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

He has also been uploading copies of his old paintings on Facebook which he thinks are still relevant because of the attacks on Lumad communities and the continued plunder of natural resources in the ancestral domains of ethnic tribes.

Svahili

Amekuwa pia akipakia nakala ya kazi zake za zamani katika ukurasa wake wa Facebook ambazo anaziona kama bado zina manufaa kufuatia kuvamiwa kwa jamii ya Lumad na matukio ya mfululizo ya kurubuni mali asili zilizopo kwenye maeneo ya urithi ya makabila haya.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

Our Zola’s love for philosophy and art is so visible that he made the banner of his blog the famous painting of Jacques-Louis David’s "The Death of Socrates".

Svahili

Upendo wa Zola wetu katika masuala ya falsafa na sanaa unajidhihirisha kwake haswa pale alipolifanya tangazo la utambulisho wa blogu yake kuwa ni picha maarufu ya "Kifo cha Socrates" iliyoandaliwa na Jacques-Louis David.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

Some of his paintings have been widely shared on social media by activists, scholars, and heritage advocates who are seeking to inspire the public to support the Lumad’s right to self-determination.

Svahili

Baadhi ya michoro yake tayari imeshasambazwa kwa kiasi kikubwa kwenye mitandao ya kijamii na wanaharakati, wanazuoni pamoja na watetezi wa masuala ya urithi ambao wanalenga kuhamasisha jamii kusaidia jamii ya lumad kupata haki yao.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

The museum has a collection of Roman art and some European paintings.

Svahili

Jumba lenyewe lina mkusanyiko wa michoro kutoka Roma na Ulaya.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

Daha iyi çeviri için
4,401,923,520 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam