Google'a Sor

Şunu aradınız:: protracted (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

This is especially true of protracted closures.Schools are hubs of social activity and human interaction.

Svahili

Hii hususan ni ukweli kati hali za kufungwa kwa utaratibu fulani.Shule ni vitovu vya shughuli za kijamii na miingiliano ya binadamu.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

Continued political violence is a threat to the democratic process in a country which is still slowly recovering from a devastating protracted civil war

Svahili

Kuendelea kwa ghasia za kisiasa ni tishio kwa mchakato wa kidemokrasia katika nchi ambayo bado inarejea polepole kutoka kwa vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

When We bless man, he is disregardful and turns aside; but when an ill befalls him, he makes protracted supplications.

Svahili

Na tukimneemesha mwanaadamu hugeuka na kujitenga upande, na inapo mgusa shari, huwa na madua marefu marefu.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

According to the UNHCR website, Iran is home to one of "the world's largest and most protracted refugee populations."

Svahili

Kwa mujibu wa tovuti ya UNHCR, Irani inahifadhi idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

I will have your hands and feet cut off on alternate sides and crucify you on the trunks of date-palm trees. You will come to know whose punishment is harder and protracted."

Svahili

Basi kwa yakini nitakukateni mikono yenu na miguu yenu kwa kutafautisha. Na nitakutundikeni misalabani katika vigogo vya mitende, na hapo kwa yakini mtajua ni nani katika sisi aliye mkali wa kuadhibu na kuiendeleza adhabu yake.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

Mehdi Hassan Khan also famously known as the ‘King of Ghazal’ passed away on Wednesday, 13, June, 2012 after a protracted illness, in a local hospital in Karachi city of Pakistan.

Svahili

Mehdi Hassan Khan ambaye alijulikana kama ‘Mfalme Ghazal’ alifariki jumatano ya tarehe 13, Juni, 2012 baada ya kuugua kwa muda mrefu katika hospitali ya jiji la Karachi nchini Pakistan.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

UNHCR’s Representative in Iran acknowledged the Iranian Government’s contribution, expressed UNHCR’s gratitude towards the Government of the Islamic Republic of Iran for all the services it has rendered to the largest protracted urban refugee population in the world for over three decades, and inclusion of the refugees in this Universal Insurance Scheme which is exemplary not only regionally but also globally, and added that such a services haven’t been provided before and I sincerely hope other countries will follow this example.

Svahili

Mwailishi wa UNHCR nchini Iran akiushukuru mchango wa serikali ya Irani, alionesha shukrani za UNHCR kwa serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya Irani kwa huduma zote ilizozitoa kwa wakimbizi wanaoishi mijini nchini humo, ambao ni idadi kubwa zaidi duniani, katika kipindi cha miongo mitatu, na kuwaingiza wakimbizi kwenye Mpango wa Bima ya Afya, ambao ni mfano mzuri duniani, na kuongeza kwambahuduma kama hizo hazijatolewa kabla na ninaamini kwa dhati kwamba nchi nyingine zitafuata mfano huu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

While the situation in Burkina Faso is still in flux, it was a key moment, as the public massively supported the coup, fed up with Compaore’s decades-long rule (..)but The situation in Burundi is also different, particularly given the protracted civil war which ended in 2005.

Svahili

Wakati hali nchini Burkina Faso bado haijatengemaa, hatua hiyo ilikuwa ya muhimu, kwa sababu wananchi waliunga mkono mapinduzi hayo, kwa sababu ya kuchoka utawala wa miongo kadhaa wa Compaore(..)lakini hali nchini Burundi ni tofauti kidogo, hususani kwa kurejea historia ya vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo iliyokwisha mwaka 2005.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
4,401,923,520 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam