İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
die aber fleischlich sind, können gott nicht gefallen.
watu wanaotii matakwa ya mwili hawawezi kumpendeza mungu.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
aber fleischlich gesinnt sein ist der tod, und geistlich gesinnt sein ist leben und friede.
fikira za mwili huleta kifo; fikira za roho huleta uzima na amani.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
denn die da fleischlich sind, die sind fleischlich gesinnt; die aber geistlich sind, die sind geistlich gesinnt.
maana, wale wanaoishi kufuatana na matakwa ya mwili, hutawaliwa na fikira za mwili. lakini wale wanaoishi kufuatana na matakwa ya roho mtakatifu, hutawaliwa na fikira za roho.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
denn so einer sagt ich bin paulisch, der andere aber: ich bin apollisch, seid ihr nicht fleischlich?
mmoja wenu anaposema, "mimi ni wa paulo", na mwingine, "mimi ni wa apolo", je, hiyo haionyeshi kwamba mnaishi bado kama watu wa dunia hii tu?
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
dieweil ihr noch fleischlich seid. denn sintemal eifer und zank und zwietracht unter euch sind, seid ihr nicht fleischlich und wandelt nach menschlicher weise?
maana bado mu watu wa kidunia. je, si kweli kwamba bado uko wivu na magombano kati yenu? mambo hayo yanaonyesha wazi kwamba ninyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ihr aber seid nicht fleischlich, sondern geistlich, so anders gottes geist in euch wohnt. wer aber christi geist nicht hat, der ist nicht sein.
lakini ninyi hamuishi kufuatana na matakwa ya mwili, bali kufuatana na matakwa ya roho, ikiwa roho wa mungu anaishi ndani yenu. yeyote asiye na roho wa kristo, huyo si wake kristo.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
denn fleischlich gesinnt sein ist wie eine feindschaft wider gott, sintemal das fleisch dem gesetz gottes nicht untertan ist; denn es vermag's auch nicht.
maana, mwenye kutawaliwa na fikira za mwili ni adui wa mungu; haitii sheria ya mungu, wala hawezi kuitii.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
bin ich aber leichtfertig gewesen, da ich solches dachte? oder sind meine anschläge fleischlich? nicht also; sondern bei mir ist ja ja, und nein ist nein.
je, mnadhani nilipopanga hivyo nimekuwa kama mtu asiye na msimamo? je, mnadhani kwamba ninafanya uamuzi wangu kwa fikira za kibinadamu na kwamba nasema "ndiyo" na "siyo" papo hapo?
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
denn sie reden stolze worte, dahinter nichts ist, und reizen durch unzucht zur fleischlichen lust diejenigen, die recht entronnen waren denen, die im irrtum wandeln,
husema maneno ya majivuno na yasiyo na maana, na kutumia tamaa zao mbaya za kimwili kuwatega wale ambao wamejitenga hivi karibuni na watu waishio katika udanganyifu.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: