İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
les familles de détenus ont vu dans cette journée une chance de sensibiliser les gens à leur cause.
familia za watu waliowekwa kizuizini wanaiona siku hii kama nafasi ya kukuza uelewa kuhusu malengo yao.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
cet événement a pour but de sensibiliser les populations et de déclencher des discussions à travers le monde en ce jour précis.
kusudi la tukio hilo ni kuongeza ufahamu na kuanzisha mijadala ya kidunia katika siku hiyo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
même si de plus en plus de communautés commencent à découvrir les possibilités de partage en ligne dans leur langue, on peut encore faire beaucoup plus pour sensibiliser et mettre en évidence ces efforts.
ingawa jamii zaidi na zaidi zinaanza kugundua uwezekano wa kuweka lugha zao mtandaoni, hatua zaidi na zaidi zinahitajika kufanyika ili kujaribu kukuza uelewa na kutangaza juhudi hizi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
les campagnes pour sensibiliser contre le racisme sur les terrains de foot se sont intensifiées en europe ces dernières années mais le sujet est rarement abordé à l'intérieur des stades au brésil.
wakati kampeni kwa ajili ya kuongeza uelewano na majadiliano dhidi ya ubaguzi wa rangi kwenye uwanja kumeongezeka katika miaka michache iliyopita katika ulaya, swala mara chache hushughulikiwa ndani ya viwanja vya soka nchini brazil.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
un mouvement dédié à sensibiliser le public aux crimes contre l'humanité dans le monde entier et à aider à y mettre un terme, à commencer par les atrocités qui se commettent contre des enfants en syrie.
harakati maalum kwa ajili ya kuujulisha umma kuhusiana na makosa dhidi ya ubinadamu ulimwenguni kote pamoja na kusaidia kuyakomesha, kwa kuanzia na matukio ya kikatili yanayowapata watoto nchini syria.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
cireass, aussi blogueur sur la guinée, a choisi un ton plus direct pour s'exprimer sur l'épidémie et sur les challenges à surmonter pour sensibiliser la population :
cireass, mwanablogu mwingine anayeandika kuihusu guinea, alichagua njia isiyo ya mkato katika kulielezea gojwa la ebola pamoja na changamoto za kuielimisha jamii:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
afrique du sud : la muppet séropositive d'1 rue sésame sensibilise au vih/sida
afrika kusini: kikaragosi kiliochoathirika na vvu kwenye kipindi cha sesame chaelimisha kuhusu ukimwi
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: