Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
konstebo wa uhamiaji
immigration constable
Son Güncelleme: 2021-08-16
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
konstebo wa pilisi na mchezaji wa judo, pramila khadka na timu yake wakitoa mafunzo ya elimu ya ulinzi binafsi kwa wanawake na watoto katika kambi moja huko kathmandu.
police constable and judo player pramila khadka gives self defence classes with her team to women and children at a camp in kathmandu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
natumaini rais obama hatumii jambo hili kupima fursa zake za kuleta mageuzi makubwa katika mfumo wa uhamiaji baadaye mwaka huu kwa kuwafurahisha fair kuhusu jambo hili lenye umuhimu wa pekee katika masuala ya kiutu.
i hope president obama is not over-calculating his chances for comprehensive immigration reform later this year by appeasing the fair constituency on this crucial humanitarian issue.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ukweli wa jinsi sehemu hii ilivyogeuka na kuwa ya kiwendawazimu unakupiga usoni sekunde ile unapotua kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa na kuona wafanyakazi wa ardhini wamevaa vitambaa vya kitabibu kufunika pua, kuanzia wahudumu mpaka maofisa wa uhamiaji.
reality of how mad this place has become smacks you in the face the second you land at the bahrain international airport and see all the ground staff wearing surgical masks, from the ground handling staff to the immigration and customs officers.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mrengo wa kulia wa shirikisho la mageuzi ya mfumo wa uhamiaji marekani (federation for american immigration reform (fair)) umetangaza kupinga utolewaji wa tps kwa raia wa nchi ya haiti.
the right wing federation for american immigration reform (fair) has announced opposition to granting tps for haiti.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mwezi julai tutakua tukizungumzia kwa mapana kabisa mambo yanayohusiana na uhamiaji: kutoka kwenye mswada wa uhamiaji ambao kwa sasa unajadiliwa katika bunge la marekani, hadi kwenye habari kuhusu safari ngumu na ndefu za wahamiaji kutoka kaskazini mwa amerika kupitia amerika ya kati hadi nchini mexico.
in july we will be covering a wide range of issues related to migration: from the immigration bill that is currently being discussed in the united states congress, to the human stories behind migrants’ dangerous trek north through central america and mexico.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
@omarc: maofisa wa uhamiaji wa bahrain wananitaka radhi kwa kutoniruhusu kuingia nchini humo, lakini wanasema, "mambo yatakuwa shwari baada ya siku 2 hadi 3″.
@omarc: bahrain immigration officers ask me to accept their apology for denying me entry to the country, but say "it will be fine in 2 to 3 days".
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor