Google'a Sor

Şunu aradınız:: upo sehemu ipi (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

Kwa kuwa upatikanaji wa intaneti upo sehemu chache n amara nyingi ni wa aghali mno nje miji mikubwa, wengi wanaoblugu kutokea sehemu za mashamba ni Wafanyakazi wa Amani wa Kujitolea (PCVs) na kwa hiyo wako katika nafasi ya kuweza kutoa mitazamo kama wageni kutoka nje… walioko ndani.

İngilizce

As Internet access is sparse and often prohibitively expensive outside of cities, many of the people blogging from rural areas are Peace Corps Volunteers (PCVs) and are therefore positioned to give an outsiders' perspective...from the inside.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

Kituo cha Hifadhi ya Wanyama, bila shaka, ni moja ya maeneo machache unayoweza kuyatembelea na kujionea jinsi watu wanavyobadilika kulingana na vionjo na matakwa ya Tembo na siyo Tembo kubadilika kulingana na namna watu wanavyoishi. Linapokuja suala la kuchagua niende kwenye sehemu ipi ya utalii wa Tembo, huwa ninakuwa na machaguo mengi kwani karibu maeneo yote ulimwenguni huwa na tabia ya kutokuwajali kabisa tembo, ikiwa ni sawa tu na kuhama kutoka kushuhudia maisha mbaya kabisa ya tembo (= kusafirisha magogo) kwenda kushuhudia maisha mengine ya tembo(= kutokutunzwa vizuri kunakotokana na shughuli za kitalii).

İngilizce

The Elephant Conservation Center is probably one of the few places you can visit where it’s not about elephants adapting to people’s schedules and needs but where people adapt to the rhythm and needs of the elephants I am very picky when it comes to choosing an Elephant “place” as there are far too many all over the world which treat their elephants badly and which just means moving from one horrible life (=logging) to another (= bad treatment for tourism purposes).

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
4,401,923,520 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam