İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kuachwa bila makazi ni kugumu sana, kukiwana joto kali na bila ya maji.
to be displaced is difficult, with the heat and no water.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa mwenyezi mungu na radhi.
and in the hereafter is severe punishment and forgiveness from allah and approval.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwenye foleni ndefu kwa masaa sita sasa joto kali na hakuna malalamiko. #respect
in queu for 6 hours in the heat and little complaints. #respect
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na wanao panga vitimbi vya maovu watapata adhabu kali. na vitimbi vya hao vitaondokea patupu.
(it is allah who bestows honour, to whomever he wills.)
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
suala moja na matibabu ya kuzia virusi ni maedeleo ya upinzani kupitia mabadiliko ambayo yanaweza kusababisha ugonjwa kali na maambukizo.
one issue with antiviral treatment is the development of resistance through mutations that can lead to more severe disease and transmission.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
basi hapana shaka tutawaonjesha hao walio kufuru adhabu kali, na hapana shaka tutawalipa malipo mabaya ya yale waliyo kuwa wakiyafanya.
but surely, we shall cause those who disbelieve to taste a severe torment, and certainly, we shall requite them the worst of what they used to do.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa mwenyezi mungu na radhi. na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu.
and in the hereafter there is both a grievous torment and forgiveness from allah and his pleasure, and the life of the world is but a vain bauble.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
maswali bado yanaendelea kuibuliwa endapo meja hassan alikuwa mwenye siasa kali na ambaye alifanya mashambulizi hayo kwa msukumo wa itikadi ya kidini au labda tu alikuwa na tatizo la kiakili.
questions are still being raised as to whether major hasan was an extremist who carried out the attack based on religious ideology or he was simply mentally ill.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
walibaki kwenye matawi ya mti huu kuanzia saa 4 asubuhi ya terehe 26 mpaka saa 9 alfajiri ya siku iliyofuata walipoteremka, na maji yakiwa usawa wa kiuno kwa sababu walipatwa na baridi kali na njaa kwa masaa 17.
they stayed on the branches of this tree from 10 am of sept. 26 up to 3 am of the following day when they climbed down with the waters still waist deep because they were cold and hungry for 17 hours.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
utafiti unaojulikana kama colcorona, unaandikisha watu wazima 6000 wenye unmri wa miaka 40 na zaidi ambao wamegunduliwa kuwa na ugonjwa wa covid-19 na wanaonyesha dalili zisizo kali na hawahitaji kulazwa hospitalini.
the study, named colcorona, is recruiting 6000 adults aged 40 and over who were diagnosed with covid-19 and experience mild symptoms not requiring hospitalization.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kutoka , simu zenye uwezo wa kuchukua picha za video ili ziwafikie wapelelezi wetu, na mahabusu hao walitupatia vidokezo (kwa njia ya video) vya maisha yao, na polepole, kila video ikiwa na urefu wa sekunde 10 hadi 15, kwa kipindi cha miezi sita.
from the , we mobile phones equipped with video cameras to each of our agents, and the inmates were sending us glimpses into their lives, little by little, 10 to 15 seconds at a time, for six months.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.