İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
moyo wangu uko nanyi enyi wabeba taa
قلبي معكم يا حَملة النور
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hapo wale wanawali wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
فقامت جميع اولئك العذارى واصلحن مصابيحهن.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.
اما الجاهلات فاخذن مصابيحهن ولم ياخذن معهن زيتا.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
picha ya mafuriko katika mji wa marikina, ikionyesha taa za barabarani.
فيضان في مدينة ماريكينا.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
basi, nikageuka nimwone huyo aliyesema nami, nikaona vinara vya taa saba vya dhahabu,
فالتفت لانظر الصوت الذي تكلم معي ولما التفت رأيت سبع مناير من ذهب
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
"muwe tayari! jifungeni mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
لتكن احقاؤكم ممنطقة وسرجكم موقدة.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa chungu, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.
ولا يوقدون سراجا ويضعونه تحت المكيال بل على المنارة فيضيء لجميع الذين في البيت.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mji huo hauhitaji jua wala mwezi kuangazia, maana utukufu wa mungu huuangazia, na taa yake ni yule mwanakondoo.
والمدينة لا تحتاج الى الشمس ولا الى القمر ليضيئا فيها لان مجد الله قد انارها والخروف سراجها.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa mahali patakatifu. humo mlikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyotolewa kwa mungu.
لانه نصب المسكن الاول الذي يقال له القدس الذي كان فيه المنارة والمائدة وخبز التقدمة.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
"hakuna mtu anayewasha taa na kuifunika kwa pishi, bali huiweka juu ya kinara ili watu wanaoingia ndani wapate kuona mwanga.
ليس احد يوقد سراجا ويضعه في خفية ولا تحت المكيال بل على المنارة لكي ينظر الداخلون النور.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
basi, yuda alichukua kikosi cha askari na walinzi kutoka kwa makuhani wakuu na mafarisayo, akaja nao bustanini wakiwa na taa, mienge na silaha.
فأخذ يهوذا الجند وخداما من عند رؤساء الكهنة والفريسيين وجاء الى هناك بمشاعل ومصابيح وسلاح.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
basi, kama mwili wako wote una mwanga, bila kuwa na sehemu yoyote yenye giza, mwili huo utang'aa kikamilifu kama vile taa inavyokuangazia kwa mwanga wake."
فان كان جسدك كله نيّرا ليس فيه جزء مظلم يكون نيّرا كله كما حينما يضيء لك السراج بلمعانه
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor