Şunu aradınız:: • mimba za utotoni (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

• mimba za utotoni

İngilizce

Son Güncelleme: 2024-04-29
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ngonjera kuhusu athari za mimba za utotoni

İngilizce

information about the impact of pregnancy

Son Güncelleme: 2023-01-20
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

vifo vya watoto ni suala kuu linalohusiana moja kwa moja na mimba za utotoni.

İngilizce

maternal mortality is an issue directly related to teen pregnancy.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa nyongeza, mimba za utotoni zinachangia kuongezeka kwa umasikini wa kipato kwa wanawake.

İngilizce

additionally, teenage pregnancy contributes to an already established trend, the feminization of poverty.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

africa: waafrika wasimulia kumbukumbu zao za utotoni

İngilizce

africa: africans share childhood memories online · global voices

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa hali hiyo, amerika ya kusini haikwepi suala hilo la kidunia, kuhusu mimba za utotoni:

İngilizce

thus, latina america isn't exempted from this global issue, mainly about teen pregnancy:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

ujinga, ndoa za umri mdogo, mimba za utotoni ni sehemu ya mduara usiokwisha unaoathiri maisha ya wasichana.

İngilizce

illiteracy, child marriage, teen pregnancy are part of a vicious cycle that especially affects our girls.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

venezuela inaongoza orodha ya nchi za amerika kusini na ni ya tatu kwenye eneo la amerika ya kati ikiwa na kiwango kikubwa kabisa cha mimba za utotoni.

İngilizce

venezuela is top of the list in south america and third place in latin america with the highest rate of early pregnancy.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

takwimu za venezuela zinaonesha kwamba nchi hiyo ina idadi kubwa ya mimba za utotoni barani amerika ya kusini na imekua ya kwanza kwa miaka miwili iliyopita.

İngilizce

venezuelan statistics are the highest in south america and remains in first place from two years ago.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kati ya sababu za mimba za utotoni, theluthi moja ya mimba zisizotarajiwa ni matokeo ya utokutumia kinga, na nuu ya wasichana wanaoathirika ni wale ambao hawakupata elimu ya afya ya uzazi kabla ya kupata mimba.

İngilizce

among the causes of teen pregnancy, it's worth mentioning that one-third of unwanted pregnancies are a result of not using protection, and half of the girls affected didn't receive proper sexual and reproductive education before getting pregnant.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

liz a. ni mchangiaji kutoka uganda/kenya ambaye anaishi nchini marekani.na hizi ndizo kumbukumbu zake za utotoni:

İngilizce

liz a. is a contributor from uganda/kenya living in the united states. these are her childhood memories:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

desireé lozano, anayeblogu kwenye blogu ya voces visibles, anatoa mwito kwa ongezeko kubwa la mimba za utotoni nchini venezuela, ambapo asilimia 25 ya mimba ni za vijana, na kukosekana kwa sera sahihi za kudhibiti tatizo hili na matokeo yake.

İngilizce

desireé lozano, blogging for voces visibles, urges attention be paid to the extremely high rate of teenage pregnancies in venezuela, where 25% of the pregnancies are among young people, and the lack of an appropriate public policy to counter this phenomenon and its repercussions.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

meena ameshatoa ujumbe wa kupinga ndoa za utotoni na utamaduni wa utoaji mahari, ikiwa ni pamoja na kupigia chapuo matumizi sahihi ya vyoo, kuwapeleka watoto wa kike shuleni, usawa wa kijinsia miongoni mwa watoto wa kike na wa kiume pamoja na haki ya elimu kwa wafanyakazi wa ndani.

İngilizce

meena has spread messages to stop child marriage and the practice of dowry and promote healthy toilet use, sending girls to school, equality between boys and girls and the right to education for the domestic workers.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

tovuti ya mujeresmundi, inayoongozwa na mtaalamu wa mawasiliano anayeishi peru na ubelgiji xaviera medina, inahusika na kampeni ya kuelemisha watu kuhusu "ni mtoto wa kike" inakosudiwa kukomesha utoaji wa mimba za kike nchini india na china:

İngilizce

the website mujeresmundi, directed by peruvian belgium-based communication specialist xaviera medina, is involved with the awareness campaign it's a girl against infanticide feminicide in india and china:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,782,760,930 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam