İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
waziri wa mawasiliano ameamua kuifunga stesheni ya televisheni ya viva kwa sababu ya filamu iliyopeperushwa na stesheni hiyo.
the minister of the communication has decided to close the tv station viva due to a documentary movie that this station had broadcasted.
shukrani zetu za dhati kabisa ziwaendee wafadhili wetu wa masuala ya habari sunstar publishing, pamoja na wafadhili wetu wa mawasiliano globe telecom na smart communications.
our heartfelt gratitude to our media sponsor sunstar publishing, and our tech sponsors globe telecom and smart communications.
"kama kuna yeyote anayetakiwa kuelewa thamani ya uhuru wa kujieleza, naibu mkurugenzi wa mawasiliano na utetezi kule licadho ndiye anayepaswa kuwa.
"if anyone should understand the value of free speech, the deputy director of communication and advocacy at licadho seems a likely candidate.
bloga na mpiga picha kamran ashtray, ambaye pia ni mkurugenzi wa mawasiliano na maendeleo anaeleza changamoto, matumaini, na mafanikio ya nyanja ya uanahabari wa kiraia wa irani.
kamran ashtary, blogger, photographer and zamnaeh's director of communication & development shares zamaneh's challenges, hopes, achievements and iranian citizen media.
"natumaini kwamba mkondo huu utakuwa ni mkondo wa mawasiliano na daraja kati ya mashariki na magharibi, kwa sababu ninaamini kwamba dunia yetu inahitaji hili."
“i hope that this channel becomes a channel for communication and a bridge between the east and west, because i firmly believe our world is in dire need for this”.
msimamizi wa mawasiliano alihalalisha kufungwa kwa idhaa hiyo kwa sababu ya matukio ya tarehe 22 mei, 2009, ambapo ilisambaza habari zilizotokana na dhana kuwa uchimbaji wa mafuta kwenye kisiwa cha puna kungewaathiri wakazi wa kisiwa hicho, ambao wanapata kipato chao kutokana uvuvi.
the superintendent of telecommunications justified the channel's closing because of the events of may 22, 2009, when it spread news based on assumptions regarding the exploitation of gas on the puná island that will affect the residents of the island, who make a living in the fishing industry.
limekuwa suala la mjadala tangu miaka ya 1970, hususani katika mikhtadha ya mijadala kuhusu utaratibu wa mawasiliano na habari katika dunia mpya (new world information and communication order, nwico).
it was already a subject of concern during the 1970s, notably in the context of discussions about new world information and communication order (nwico).
tovuti ya mujeresmundi, inayoongozwa na mtaalamu wa mawasiliano anayeishi peru na ubelgiji xaviera medina, inahusika na kampeni ya kuelemisha watu kuhusu "ni mtoto wa kike" inakosudiwa kukomesha utoaji wa mimba za kike nchini india na china:
the website mujeresmundi, directed by peruvian belgium-based communication specialist xaviera medina, is involved with the awareness campaign it's a girl against infanticide feminicide in india and china:
hata hivyo, kama mtaalamu wa mawasiliano ya umma edison pérez (@edyelrojo) alivyosema, correa aliongeza: “tutautetea uhuru wa kujieleza wa wananchi wote wa ekuado na sio makundi fulani fulani pekee”.
nevertheless, as social communicator edison pérez (@edyelrojo) mentions, correa added: “we defend the freedom of expression of all ecuadorians and not only of certain groups”.