İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
na wala hakuna ushahidi kwamba alivaa suruari fupi mithili ya kaptula ndefu, lakini mitindo hiyo ndiyo maarufu zaidi kwa kundi hili.
nor is there any to prove that his pyjamas ended several inches above his ankles, but that is also a popular sartorial choice amongst this lot.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
yohane alivaa vazi lililoshonwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.
and the same john had his raiment of camel's hair, and a leathern girdle about his loins; and his meat was locusts and wild honey.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kami alipozinduliwa, akiwa na nywele zake za kahawia na pia alivaa fulana, na kutembea kwenye mtaa wa susame na kujiuliza huku akihofu kama wenyeji watataka kucheza nae.
when kami was unveiled, with her mop of brown hair and she also wore a vest, wandering onto sesame street and wondering nervously if the residents will want to play with her.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mnamo tarehe 22 januari 2020, daktari fulani aliambukizwa sars-cov-2 ingawa alivaa barakoa ya n95; huenda virusi viliingia mwilini mwake kupitia macho yake yaliyokuwa yakimwasha.
on january 22, 2020, a doctor was infected with sars-cov-2 although he wore an n95 mask; the virus might have entered his body through his inflammatory eyes.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: