Şunu aradınız:: anayedaiwa (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

anayedaiwa

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

marehemu hao walikuwa sehemu ya askari 400 waliokuwa wametumwa kumkamata mtu anayedaiwa kupanga matukio ya milipuko ya mabomu ya bali mwaka 2002 anayesemekana kujificha eneo hilo.

İngilizce

they were part of a 400-member police operation sent to capture the alleged mastermind of the 2002 bali bombings who was said to be hiding in the area.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

picha za sata anayedaiwa kuwa mgonjwa ziliposambaa mtandaoni, tovuti moja ya habari mtandaoni, zambian watchdog, iliripoti kwamba rais amepelekwa israel kwa ajili ya matibabu.

İngilizce

when pictures of a seemingly sick sata went viral on social media, one online publication, the zambian watchdog, reported that the president had been evacuated to israel for treatment.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wizara ya mambo ya ndani ya bahrain imetangaza kumkamata mtumiaji mwingine tena wa mtandao, anayedaiwa kutakiwa kujibu mashitaka ya "kuchochea chuki dhidi ya utawala."

İngilizce

the bahrain ministry of interior announced the arrest of yet another netizen, who reportedly faces accusations of "inciting hatred against the regime."

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

vuguvugu zote mbili, lile la mgomo na lile la maandamano yalichochewa na madai ya hivi karibuni kwamba gazeti hilo limekuwa likijaribu kumchafua rais lula da silva kupitia makala iliyoandikwa na césar benjamin, ambaye alikuwa mtu wa karibu na rais huyo na ambaye sasa ni mwandishi wa makala wa gazeti hilo la folha, ambapo anadai kwamba lula alikiri kuwa mwaka 1994, lula alijaribu kumlazimisha mfungwa mwenzake kufanya ngono alipokuwa amefungwa kwa kosa la kisiasa katika miaka ya 80. pamoja na watu wanaodaiwa kuwepo katika mazungumzo hayo kukataa na hata wale waliofungwa pamoja na lula wakati wa utawala wa kidikteta, ikiwa ni pamoja na mfungwa huyo anayedaiwa kutendewa hayo, mwandishi wa makala aliomba msamaha kwa kosa hilo na gazeti hilo lilitakiwa kuchapisha habari mpya ili kukanusha shutuma hizo siku chache baadae.

İngilizce

both the boycott campaign and the demonstration were sparked by the newspaper's latest alleged attempt at character assassination against brazilian president lula da silva, this time by publishing an article by césar benjamin, an ex-ally and current folha columnist, claiming that lula admitted in 1994 he had attempted to sexually subdue a fellow inmate when jailed for political crime in the 80's. with the denial of the other people present at the said conversation and even those jailed with lula during the dictatorship, including the said assaulted inmate, the author of the article apologised for any offense and the newspaper was forced to publish new stories denying the allegations a few days later.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,788,121,703 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam