Şunu aradınız:: asante dago kwa taarifa (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

asante dago kwa taarifa

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

asante kwa taarifa

İngilizce

asante kwa taarifa tunaf

Son Güncelleme: 2022-12-29
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

tafadhali piga simu namba 114 kwa taarifa zaidi.

İngilizce

live tweets from on the runway

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa taarifa zaidi, tafadhali wasiliana na: abrouafef riseup net

İngilizce

for more information, please contact: abrouafef riseup net

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa taarifa zaidi, tafadhali wasiliana na: rising globalvoicesonline.org

İngilizce

for more information, please contact: rising globalvoicesonline.org

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa taarifa zaidi kuhusiana na haya tafadhali tembelea ukurasa wetu wa matukio.

İngilizce

more information on our google + event page.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa taarifa zaidi kuhusu namna ya kushiriki, pitia tovuti ya kampeni hiyo.

İngilizce

for more details on how to take part, take a look at the campaign website.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

(kwa taarifa zaidi, fuatiliaglobal voices' ukurasa wa habari maalum .)

İngilizce

(for more information, see global voices' special coverage page.)

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

tafadhali pitia ukurasa wa global voices wa tetemeko la ardhi la haiti kwa taarifa zaidi.

İngilizce

please visit the global voices haiti earthquake page for more coverage of the event.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

magazeti mengi yaliyo na usajili yameyaondoa kwa baadhi ya au kwa taarifa yote kuhusu virusi vya korona.

İngilizce

many newspapers with paywalls have removed them for some or all of their coronavirus coverage.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa taarifa zaidi kuhusu tetemeko la ardhi lililoipiga nchi ya haiti, tafadhali tembelea ukurasa wetu maalumu wa taarifa.

İngilizce

for more information on the earthquake in haiti, please go to our special coverage page.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa taarifa zaidi, uninorte amezindua mpango unaoitwa sayansi inayofikika, kutufanya tujisikie sehemu ya jamii ya kisayansi.

İngilizce

for further information, uninorte has launched a program called science within reach, to make us feel part of the scientific community.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

baadhi ya watu wanaamini kuwa ushindi huu ulithibitishwa kwa taarifa ya maandishi iliyotolewa mapema julai 14, 2013 – kuwa ni ya dharura tu.

İngilizce

some believe that this victory - confirmed in a written document released on july 14, 2013 - is only temporary.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa taarifa zilizopo, mara nyingi twita huchukua muda mrefu sana, au pengine haijishughulishi kabisa kujibu maombi ya kuthibitisha anwani fulani fulani.

İngilizce

reportedly, in many cases twitter takes too long, or simply never respond to requests for verifying accounts.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

blogu ya maendeleo ya kidunia inayoendeshwa na jarida la uingereza la the guardian inaendelea kuandika habari za kugawa ardhi baada ya kuwekwa wazi kwa taarifa kuu za umma zinazohusu mgawanyo wa ardhi mwezi aprili.

İngilizce

the global development blog of the guardian's (uk) continues its coverage of land deals after the release of the largest public database on international land deals in april.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

ndio, unaweza kudhani sikuwa makini kwa kuacha mkoba wangu pale, kwa taarifa yako, ulikuwa umefichwa chini ya kiti kile kile mpaka nilipofikiri kuwa nimemaliza manunuzi!’

İngilizce

yes, you might be thinking i was careless leaving the bag there, fyi, it was hidden beneath that same seat until when i thought i had finished shopping!"

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

mpango wa siri wa marekani wa kubadili utawala nchini cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na twita iitwayo zunzuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa maelfu ya wa-cuba walidanganyika kujisajili kupata huduma hizo.

İngilizce

a secret us plan to support regime change in cuba with a twitter-like messaging service called zunzuneo has now come under the spotlight with news reports that thousands of cubans were duped into signing up for the service under false pretenses.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kutangazwa kwa taarifa hiyo kwenye redio ilidai kwamba bikra hiyo bandia ilikuwa imetengenezwa maalumu kwa ajili ya wanawake wa kiarabu na waislamu ikipuuza ukweli kwamba bidhaa hiyo imekuwapo japan tangu mwaka 1993 na haikuwa imetengenezwa maalumu na wachina waliogundua ugonjwa wa akili wa wanawake wa kiarabu wanaohitaji kudanganya kuhusu ubikra wao.

İngilizce

the information broadcast on the radio said that the fake hymen is manufactured specially for arab and muslim women ignoring the fact that the product has been available in japan since 1993 and it was not specially produced by the chinese who realized the schizophrenic condition of arab women who need to fake their virginity.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

muswada huu unazuia kuchapishwa kwa “taarifa zinazopotosha, zenye udanganyifu au zisizo na ukweli”, kipimo ambacho nanfuka anasema kinaleta tishio la wazi kwa haki ya kujieleza kwa uhuru na uwazi mtandaoni.

İngilizce

the bill outlaws the publication of "misleading, deceptive or false" information, a measure that nanfuka noted presents a clear threat to free and open expression online.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

baada ya mkurupuko wa kwanza wa covid-19, nadharia za uongo, taarifa za uongo na kutokuwepo kwa taarifa kuliibuka kuhusiana na chimbuko, kiwango, kinga, matibabu na nyenzo nyingine za ugonjwa na kuenea haraka mtandaoni.

İngilizce

after the initial outbreak of covid-19, conspiracy theories, misinformation and disinformation emerged regarding the origin, scale, prevention, treatment and other aspects of the disease and rapidly spread online.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

@nomasguiso: taarifa yako na za wengine zinaweza kuleta tofauti, usikae kimya - toa taarifa za kuvurugwa kwa taarifa kadri unavyoziona katika uchaguzi huu. a href="https://twitter.com/search?q=%23nomasguiso&src=hash">#nomasguiso

İngilizce

@nomasguiso: your report with that of others can make the difference, don’t stay quiet - report the abuses that you see in these elections. #nomasguiso

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,782,475,337 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam