İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kwa namna hiyo mtafaulu kupewa haki kamili ya kuingia katika utawala wa milele wa bwana na mwokozi wetu yesu kristo.
for so an entrance shall be ministered unto you abundantly into the everlasting kingdom of our lord and saviour jesus christ.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lakini, sasa ukweli huo umefunuliwa kwa njia ya maandiko ya manabii; na kwa amri ya mungu wa milele umedhihirisha kwa mataifa yote ili wote waweze kuamini na kutii.
but now is made manifest, and by the scriptures of the prophets, according to the commandment of the everlasting god, made known to all nations for the obedience of faith:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na uzima wa milele ndio huu: kukujua wewe uliye peke yako mungu wa kweli, na kumjua yesu kristo uliyemtuma.
and this is life eternal, that they might know thee the only true god, and jesus christ, whom thou hast sent.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
twajua pia kwamba mwana wa mungu amekuja, akatupa elimu ili tumjue mungu wa kweli; tuishi katika muungano na mungu wa kweli--katika muungano na mwanae, yesu kristo. huyu ndiye mungu wa kweli, na huu ndio uzima wa milele.
and we know that the son of god is come, and hath given us an understanding, that we may know him that is true, and we are in him that is true, even in his son jesus christ. this is the true god, and eternal life.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.