İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
lakini baadhi ya watu hao wakasema, "anamfukuza pepo kwa uwezo wa beelzebuli, mkuu wa pepo."
but some of them said, he casteth out devils through beelzebub the chief of the devils.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
kama ninafukuza pepo kwa uwezo wa beelzebuli, watoto wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? kwa sababu hiyo, wao ndio watakaowahukumu ninyi.
and if i by beelzebub cast out devils, by whom do your sons cast them out? therefore shall they be your judges.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kama shetani anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? mnasemaje, basi, kwamba ninawafukuza pepo kwa uwezo wa beelzebuli?
if satan also be divided against himself, how shall his kingdom stand? because ye say that i cast out devils through beelzebub.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ninyi mnasema ati nawafukuza pepo kwa uwezo wa beelzebuli; je, watoto wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? kwa sababu hiyo wao ndio watakaowahukumu ninyi.
and if i by beelzebub cast out devils, by whom do your children cast them out? therefore they shall be your judges.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa beelzebuli, je hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?
it is enough for the disciple that he be as his master, and the servant as his lord. if they have called the master of the house beelzebub, how much more shall they call them of his household?
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nao walimu wa sheria waliokuwa wametoka yerusalemu, wakasema, "ana beelzebuli! tena, anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo."
and the scribes which came down from jerusalem said, he hath beelzebub, and by the prince of the devils casteth he out devils.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor