Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
lakini mfarisayo mmoja aitwaye gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa sheria na aliyeheshimika sana mbele ya watu wote, alisimama mbele ya lile baraza, akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.
then stood there up one in the council, a pharisee, named gamaliel, a doctor of the law, had in reputation among all the people, and commanded to put the apostles forth a little space;
"mimi ni myahudi, mzaliwa wa tarso katika kilikia. lakini nililelewa papa hapa mjini yerusalemu chini ya mkufunzi gamalieli. nilifundishwa kufuata kwa uthabiti sheria ya wazee wetu. nilijitolea kwa moyo wote kwa mungu kama ninyi wenyewe mlivyo hivi leo.
i am verily a man which am a jew, born in tarsus, a city in cilicia, yet brought up in this city at the feet of gamaliel, and taught according to the perfect manner of the law of the fathers, and was zealous toward god, as ye all are this day.