Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
lawrence evans, ni mtafiti aliyefanya utafiti wa ubora wa dawa hizi za kuzuia malaria, guyana na suriname anasema:
lawrence evans, a researcher who has conducted a study in guyana and suriname on the quality of antimalarial drugs says:
katikati ya kufurahia ushindi wa wazalendo wenzake kutoka karibeani, living guyana alijisikia kuwasononekea kundi la olimpiki kutoka guyana:
amidst his joy for his caribbean compatriots, living guyana felt a twinge of disappointment for the guyanese olympic contingent:
nchi hizi mbili zina viwanja vinavyofaa kwa riadha, programu nzuri za riadha, wakufunzi wazuri… na katika habari nyingine wanariadha wa guyana wanaendelea kutolewa kwenye michuano ya olimpiki hata bila ya kutambulika.
these two countries have proper, world class athletics stadia, excellent athletics programmes, fantastic coaches...and in other news guyanese athletes continue to bomb out of the olympics without any notice whatsoever.
habari zikafika kwamba waziri mkuu wa jamaika bruce golding ameahidi sherehe kubwa ya mapokezi kwa mjamaika wa kwanza kutwaa medali ya dhahabu kwenye olimpiki ya beijing, usain bolt, pamoja na timu nzima ya olimpiki, bloga living guyana anapendekeza njia kadhaa za kumuenzi mwanaolimpiki huyu aliyetia fora:
as news broke that jamaican prime minister bruce golding "has promised a massive welcome home celebration for jamaica's first gold medalist in the beijing olympics, usain bolt, and the rest of the olympic team", living guyana suggested a few ways in which proper homage could be paid to the outstanding olympian: