Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
haijakamilika
Son Güncelleme: 2021-01-21
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
rasimu ya sheria hiyo bado haijakamilika lakini inategemewa kuwa serikali itafuatilia hatua hii kwa makini hasa baada ya kukaribia kushindwa kuzuia upakiaji holela kwenye simu za viganjani na kwenye intaneti wa wa picha za uchi za wanawake waliokuwa wakioga hekaluni zilizopigwa kinyume cha sheria .
the draft regulation is not yet final but it is expected that the government will seriously pursue this measure especially after it recently became almost helpless in stopping the cell phone and internet uploading of an illegally taped video of nude ladies bathing in a monastery.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
mwanablogu dunia duara ametengeneza orodha (haijakamilika bado) ya matukio yaliyochochewa na migogoro mbalimbali, ambayo kwa siku za karibuni yamesababisha matatizo makubwa nchini tanzania:
blogger dunia duara made a (not complete) list of events fuelled by different kinds of crises or conflicts, which recently have caused serious problems in tanzania:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
pamoja na kupata msaada wa watu maarufu na mafanikio ya filamu ya "difret," ashenafi na mandrefo wanasema kazi yao bado haijakamilika: wanakadiria kwamba si chini ya asilimia 20 ya ndoa kusini mwa athiopia zinatokana na mila inayofanana na telefa.
despite the big-name support and the success of "difret," ashenafi and mandrefo say their work is not done: they estimate that at least 20 percent of marriages in the south of ethiopia are coerced through some form of telefa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor