İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kwa mujibu wa wanawake hawa, wanaona kama ni kupiga hatua kuelekea nyuma kwa ufalme wa taifa hilo kutokana na ukweli kwamba tayari kuna ubaguzi na siyo tu kwamba wanawake wana haki kidogo lakini kwa kushabikia na kuafiki uanzishwaji wa hoteli ya wanawake peke yao yenye eneo la kuogea inarudisha nyuma harakati za kina mama kudai haki.
according to these women, they see it as a backwards movement for the kingdom due to the fact that there is already so much enforced segregation and women not only have few rights but promoting and endorsing a women’s only hotel and spa further diminishes women from receiving rights.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
uhispania iko mbali kutoka kwenye kilele cha orodha hiyo ya furaha kwa mujibu wa uc3m.. wala huwa hatucheki, ni wazi hata hiyo nafasi hatustahili sasa — beatriz bonmatí (@b_bonmati) september 23, 2013
spain is far from the top ranking of happiness per the uc3m.. we're not even laughing ,,clearly we are things aren't for that now — beatriz bonmatí (@b_bonmati) september 23, 2013
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.